Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Niliwaambia Kuwa Lesta Msimu Huu si Timu Ya Kujipima Uwezo Wenu Kisa Mumemfunga 4 mukaleta Ubishi Kujifanya Mnajua Kuchambua Soka!! Hivi Wachambuzi Wa Soka Wanaangalia Ubora Wa Timu Kwa Kumfunga Lesta ambayo imeshapoteza mwelekeo??
Anyway Poleni....
 
De Gea ametugharimu leo, Zlatan anapoteza sana mipira, Mata ilibidi amalize dk 90 zote.

GGMU. United We Stand.
Narudia tena huyo Martial ni takataka. Hakuna mechi tuliwahi kushinda akiwepo"ana mkosi na hii timu" Msimu uliopita ametugharimu mpaka nafasi ya nne tukaikosa bado watu wanamshabikia tuu.
 
Narudia tena huyo Martial ni takataka. Hakuna mechi tuliwahi kushinda akiwepo"ana mkosi na hii timu" Msimu uliopita ametugharimu mpaka nafasi ya nne tukaikosa bado watu wanamshabikia tuu.

Mkuu unamuongea Anthony Martial au Martial yupi?
 
Narudia tena huyo Martial ni takataka. Hakuna mechi tuliwahi kushinda akiwepo"ana mkosi na hii timu" Msimu uliopita ametugharimu mpaka nafasi ya nne tukaikosa bado watu wanamshabikia tuu.
Takataka tena
 
Titi Jr. getting an important confidence booster...
 
Attachments

  • image.jpeg
    150.2 KB · Views: 36
  • image.jpeg
    243.4 KB · Views: 36
Niliwaambia Kuwa Lesta Msimu Huu si Timu Ya Kujipima Uwezo Wenu Kisa Mumemfunga 4 mukaleta Ubishi Kujifanya Mnajua Kuchambua Soka!! Hivi Wachambuzi Wa Soka Wanaangalia Ubora Wa Timu Kwa Kumfunga Lesta ambayo imeshapoteza mwelekeo??
Anyway Poleni....

Kwahiyo wachambuzi wa soka wanaipima timu kwa kutoka sare na Stock?

We sijui unetokea wapi, Ungekuwa na akili nzuri angalau ungeangalia Positions, Chances tulizotengeneza Mach I hii kulinganisha na Leicester city.

Argument yako ni ya kitoto sana
 
Mou aliacha kutoa maelekezo kwa wachezaji wake na alianza kufanya maombi,kusali na dua na wachezaji wake walimwona, wakaungana na kocha wao katika maombi,walinyanyua mikono na kuvumba macho ile wanaitikia "ameen" na kufumbua macho, ulimi uliwatoka kama ulimi wa mbwa aliyechoka huku mwamuzi anaonesha kati. Kwa dakika 1 hawakujua nini kinaendelea mpaka pale mwamuzi alipowambia,"maombi na dua zenu zimekubaliwa".

Kwa kweli Mwamuzi aliwabeba Man United kwa kutompa Herrera kadi ya pili ya njano,alimezea foul iliyolazimisha mchezaji wa Stoke kuumia goti. Vyenginevyo Stoke wangetoa headlines za magazeti nzuri kesho.

Baada ya mechi,Mou alikimbizwazwa kupimwa shinikizo la damu. Sijui akitoka huko atakuwa na lipi la kuhubiri leo.

Kama unapenda mpira wa miguu ni lazima uipende Stoke City!
 
Narudia tena huyo Martial ni takataka. Hakuna mechi tuliwahi kushinda akiwepo"ana mkosi na hii timu" Msimu uliopita ametugharimu mpaka nafasi ya nne tukaikosa bado watu wanamshabikia tuu.

Hahaha hawa washabiki wasahaulifu huwa wanatokea timu zikishindwa kupata ushindi. Ina maana umeshasahau magoli aliyofunga mechi zake za mwanzoni mkaanza kumwita the NEW HENRY?
 
Joe Allen, centre, taps in from four yards to earn Stoke a much-needed draw at Manchester United.
 
Eric Bailly keeps hold of Joe Allen.
 
Herrera speaks to Mourinho after the final whistle.
 
Pia tumepoteza magoli mengi sana kipindi cha kwanza, hii ligi isha tushinda
Sio mlipoteza magoli mengi, ulitakiwa useme hamna wafungaji wa magoli.
Hilo la ligi kuwashinda mnalijua leo? Mimi nilipoona Mpayukaji Domokaya kapewa kibarua Man United nilijua na David Moyes anarudi kufundisha Man United msimu wa 2017/18.
Mou ameletwa ili Man United iuze jezi kwa wingi tu ili Man United iingize mapato ya kutosha.
Kwa Man United wanaweza kufurahi au kujiliwaza kwa sababu Man City pia hatautwaa Ubingwa wa Ligi kwa msimu huu.
 
Jamani kuna mtu amesikiliza vizuri Mourinho alichosema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…