Hivi Stoke wamesawazishasawashaje? Nilishutukia Allen ana-tap in sikuona kilichotangulia. Kama Mourinho alidhani kibarua cha Old Trafford kipo katika level ya Stamford Bridge, he was wrong. More pressured than ever.Kufuata nyayo za babu SAF ni sawa na kujilazimisha kujisaidia kama Tembo