respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,844
Huyo Martial ni takataka kabisa hatakiwi kuchezea timu kubwa kama hii, ingewezekana tuwauzie kabisa Arsenane. HAPO BADALA YA LINGARD ANGEMUWEKA YOUNG, KOMBINATION YA YOUNG NA VALENCIA NI HATARI TUPU....
Sijui kwanini mou hampatii nafasi Young..Huyo Martial ni takataka kabisa hatakiwi kuchezea timu kubwa kama hii, ingewezekana tuwauzie kabisa Arsenane. HAPO BADALA YA LINGARD ANGEMUWEKA YOUNG, KOMBINATION YA YOUNG NA VALENCIA NI HATARI TUPU....
Martial ni tatizo sana..anakaa na mpira sana na hajui ampigie nani? Yuko slaw sana. Wataalam wanasema ni machachari lakini sio hatari.Kwa bahati mbaya hujui unachokisema mkuu..
THAT'S WHAT I CAN SAY
Young anadondosha krosi za uhakika sana pale ndani. Mtu pekee anayeweza kumfanya Ibra apige hat trick ni YoungSijui kwanini mou hampatii nafasi Young..
Yuko vizuri sana..Ibra angepiga vichwa vyakutosha kabisa..
Mh! [HASHTAG]#AlienAlert[/HASHTAG]Martial ni tatizo sana..anakaa na mpira sana na hajui ampigie nani? Yuko slaw sana. Wataalam wanasema ni machachari lakini sio hatari.
45" bila bilaleteni update wadau niko mbali sana
Watapakua tuu [emoji38][emoji38][emoji38]Stoke wamepaki
Hili pia liwe fundisho kwetu...unapopata nafasi itumie vizuri sio unaleta ubishoo...jamaa benchi linamuhusuRONEY ana matatizo gani au Bench ndio limeanza kumuita????
Akae tu bench. Hakuna namna. Mwingine kanjanja ni Ibra. Muangalieni vizuri.Hili pia liwe fundisho kwetu...unapopata nafasi itumie vizuri sio unaleta ubishoo...jamaa benchi linamuhusu