Yeye kasema hasomi magazeti...sasa wewe unajifanya unamfahamu zaidi. Are you his personal assistant or what?!? Unasema watu wengi, kwani katika hao watu wengi lazima Pogba awemo? Kwani pundits wote ni wa newspapers? Wengine si wa TV na Radio stations?
Still, kutumia social media hakuhusiani na kusoma magazeti hata kidogo....kusoma magazeti kupitia social media (Twitter, Facebook na Instagram) si lazima uwe una-follow newspapers? Sasa kama Pogba ha-follow any of them?