😀😀 Urafiki wa kweli ni katika shida na raha,sasa wao wanasubiri msiba hawa hapa,ikija sherehe wanatupita huku wamefunga vioo humu kama hawatujui,njooni jamani tusheherekee POGBACK,nitaushauri uongozi wa jf urudishe ile system ya kuonyesha idadi ya guests walioko online
Najua Leo Muna Furaha Lakini Hata Hivyo Nasisi Tumeamua Kuwalipia Kwa Hull City Kwa Kile Kipigo Cha Watford Walicho kuekeni Sawa Last Week Manake Sasahivi Tushawabandika 3 kwa Duara.
Jamaa yupo online( social Media) halafu anataka tumwamini hasomagi magazeti. Kesho kutwa yeye na Ramsey watasema hawaendi saluni kutengeneza nywele zao. Wachezaji wa siku hizi bana.
Jamaa yupo online( social Media) halafu anataka tumwamini hasomagi magazeti. Kesho kutwa yeye na Ramsey watasema hawaendi saluni kutengeneza nywele zao. Wachezaji wa siku hizi bana.
Usiwe kama unatoka kwetu Sengerema..Hujui Watu wengi wanapata news, gossips through social media than conventional source. Na still yanayosemwa magazeti yanakwenda hadi social media. Hao waandishi, pundits wote wapo social media na wana follow and followed hawa wachezaji.