Kile cha 5-3? Doh! Usaga sumu ukichanganya na ukaangu sumu ni hatari sana...yaani ili mradi ujitutumue tu, hadi unazungumzia matokeo ya misimu miwili/mitatu iliyopita!!Hahaaaa msagasumu hongereni ingawa post yangu ilijieleza mapema naona mlitaka kurudisha kile kipigo cha 5
Man City anamsubirini kwenye kikombe cha mbuzi, tarehe 26.10
Mata alifunga kitu mzuri. Mou anajisikiaje? Atamtafutia soko au atambakisha Man. United?
Natazamia kukuona katika hali hii wiki 3 mfululizo katika ile fixture yenu usikimbie tu wakati mbaya unapowafikaKwanzia Leo nakuendelea nasagasumu na kucheza vigodoro rasmi.
Baada ya pogba kutotaka ujinga.
Ndugu yangu katika kusaga sumu sema POGBAAAAAAAAAAAAA
Kapewa pogbaaaaMan of the Match: MATA
Hahahaaa mkuu lazima nitafute pa kutokea .... nilitazamia leo mshinde 6 mpaka 8 nikashangaa mkaja ku-relax ama mliwaonea huruma?Kile cha 5-3? Doh! Usaga sumu ukichanganya na ukaangu sumu ni hatari sana...yaani ili mradi ujitutumue tu, hadi unazungumzia matokeo ya misimu miwili/mitatu iliyopita!!
Asante msaga sumu.
Sikimbiiii Ndio nimerudi rasmi.Natazamia kukuona katika hali hii wiki 3 mfululizo katika ile fixture yenu usikimbie tu wakati mbaya unapowafika
Dogo yupo vizuri sana aiseeI see the brighter future with Rashford.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kila mtu PogbaHa Ha Ha....majirani wamesinyaaa.
Pogba sio mtu mzuri kweli
I pray for you guys, mnitandikie arsenal and my weekend will be fantasticMan of the Match: MATA
Ushaisha mkuuWadau any link inayoonyesha online....nipo mahali nashindwa kuchek gemu