Manchester United (Red Devils) | Special Thread






Ugomvi mkubwa wa kukumbukwa kati ya wawili hao ni pale Wenger alimrushia dongo Mourinho kwa kusema kwamba, kauli ya Mourinho juu ya Chelsea kuwa na nafasi finyu ya kuchukua ubingwa wa Premier League msimu wa 2013-14 ni kuogopa kufeli.
Kauli hiyo ilimpelekea Mourinho kutoa majibu ya dhihaka kwa Mfaransa huyo kwa kumwita “specialist in failure” yaani bingwa wa kufeli, wakati huohuo akionesha kukasirishwa na kauli aliyoitoa Wenger baada ya kuuzwa kwa Juan Mata kwenda Manchester United.
Hapo ndipo inapoelezwa kuwa Mourinho alitoa kauli hiyo lakini akiwa nje ya vyombo vya habari kwa kusema: “Siku moja nitamtafuta nje ya ulimwengu wa soka na kumpasua uso wake.'”
 
Kuna wajuaji wanachekesha sana! Thread imevamiwa siku hizi. Page zinakwenda tu kumbe pumba za voyeurs!
 
kesho man u 1 leicester 2 Islam Slimani lazima atupie over.
 
wayne rooney bench hatakuwepo kikosini tukutane 8:30 mchana wadau
 
winga mata na jesse lingard kesho ushindi lazima wadau wote wa man united
 
Captain..
 

Attachments

  • FB_IMG_1474695226091.jpg
    53.2 KB · Views: 33
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…