Braza sijui unamwongelea Rashford yupi? He lacks pace? Nitajie hicho unachokunywa ama kuvuta nami nikitumie siku nyingine.He lacks pace
Ushamuona game yoyote alipata opening na akachanja mbuga?
subiri uje upasuliwe na ChelseaWatu bwana,
Narudia tena- yabidi (hata kama hamtaki) kuyatambua mambo makali ya Arsenal- ni kuwa inatisha! Je mueleweshwe hadi lini ninyi watu muweze kutambua?
Na wewe unategemea hii Man. United ya Mou, Rooney na Pogba ndio itashinda mechi 33?timu zote 20 bado zina nafasi ya kuwa bingwA ndug hakuna cha kushangaa ndo kwanza mechi ya 5 bado 33 .asume timu ikishinda hzo mechi zote si ameshakuwA bingwA
Hiyo ni luga ya kamanda 0.Aisee!!
Diego simeon man united bruahahahahahahahahMorinho sio kocha mm nilikuwa napata waswas na ujio wake ni swala la muda tuu diego simeone atachukua nafasi hiyo mm nashangaa kwanin man utd hawakumchukua pep sasa ngo washuke daraja
Zamu yako Bado kachaa wanguMtanyooka tu mwaka huu!..bado Liverpool inawangoja tuwatafune ninyi man fongo.
Mtanyooka tuZamu yako Bado kachaa wangu
Mtanyooka tu mwaka huu!..bado Liverpool inawangoja tuwatafune ninyi man fongo.
Roho inachomaHuyu mgeni wa mpira liverpool kala mbili bila kwa bunley kaenda kushinda kwa chelsea wakat chelsea kampiga bunley tatu bila usiishi kwa kukalili na huyo liver wako
Roho inachoma
Ahahahahaaaaa!! Huyo Babu wa mkono wa kushoto si angepumzika tuu!! ππ