I've got nothing to say!Wewe pia unamkosea heshima bosi wa mapato ya fulana na kaptula?
Mimi nasubiri after match conference, nimsikie bwana mpayukaji, domokaya atakavyoshuka na kwaya mpya. Au ataamua kuwa kasuku,kurudia yale yale aliyokuwa anayatapika alipokuwa daraja bovu?
Kocha tunaye kwani timu alizotoka aliwezaje kupata ubingwa.Poleni sana
Ila kocha mkubali hamna
Wewe pia unamkosea heshima bosi wa mapato ya fulana na kaptula?
Mimi nasubiri after match conference, nimsikie bwana mpayukaji, domokaya atakavyoshuka na kwaya mpya. Au ataamua kuwa kasuku,kurudia yale yale aliyokuwa anayatapika alipokuwa daraja bovu?
Tatizo sio Pogba, tatizo ni Rooney na Fellaini.
Rooney anamzuia Pogba kutawala sehemu ya kiungo kwa kurudirudi nyuma na Fellaini amenuiziwa na David Moyes.
Hakuna sababu ya kuwapanga Rooney na Pogba kwenye first X1
Pogba hayuko huru.
Hayo mengi yawe mazuri......najua muda bado mpaka mwezi wa 5Hahaaaa vuta subira ligi bado mbichi hii mtashuhudia mengi chini ya Mo
Hamshindi mpaka unipe ile kitu...Na tushinde mana siwezi kuivumilia hii hali.....nshaagiza na jezi afu wananifanyia hivi jamani.
Mkuu umeongea kwa uchungu sanaDaaah,,, nikaurudisha moyo wangu wote kuipenda tim baada S O kuajiliwa,,,
nikaonheza furaha baada ya mchezaji bora wa bundesliga kuja,, nikawa huru zaidi timu ilipovunjabrekodi ya uhamisho,, kumbe matatizo yanaendelea???? aaah Joseee utatuua na upangaji timu wako,,, hivi kwa nini usimwamin herrera??? kwa nini usimwache carrick amalizie soka lake??? kwa nini unamvumilia sana nahodha wako??? hivi tim unaijenga kupitia kwa nani??? una mpango gani na kipaji cha pogba???
Hahaaaaa vipi hatuanzishi [HASHTAG]#Mouout[/HASHTAG] au tusubiri mpaka disemba?Naona mmepata cha kuongea sasa
Tuonee huruma tu......si kwa kufungwa uku.huruma naona mimi
Mkuu ungekuwa daktari wagonjwa wako usingewapa matumaini. Kuwa na subiraDiego simeone kapunguza mkataba wake na A.madrid safari ya kuja O.T ipo karibu sana....inauma sana ila inatosha Jose nenda tu
Ni mapema mno.......tumpe nafasi zaidi.....tutakuja kufurahi uko mbeleni.Hahaaaaa vipi hatuanzishi [HASHTAG]#Mouout[/HASHTAG] au tusubiri mpaka disemba?
Yap kama ni ya Pogba,nunua tuu si mlimleta mahsusi kwa kuuza jezi mtani??Na tushinde mana siwezi kuivumilia hii hali.....nshaagiza na jezi afu wananifanyia hivi jamani.
Sorry nilimaanisha city.Hatujacheza na Liverpool
HeeeyI've got nothing to say!
Hahaaaaa vipi hatuanzishi [HASHTAG]#Mouout[/HASHTAG] au tusubiri mpaka disemba?