Wameukalia mpakq sa ivGlory, glory Manchester United.
Tupeni raha na leo wakaanga sumu wainywe wenyewe.
Litarudi tu
Leo hapa ni sare 2-2
...and the great Ibrakadabra??Wakiacha kuwapa Watford mipira mingi ya adhabu labda wanaweza kuweka sare ya 2-2
Ila muda unayoyoma.
Dah! watani vipi tena?
Where is Pogba, Fellaini, Rooney, Herrera na Ashley Young?
Nimefurahi kweli wanadai tunakamia mechi kubwa mbona wao wa mechi ndogo hali mbaya?Watford...