Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Swahiba sijakuona kwenye kipamara kule kwetu maana dakika ya 90 yule Pweza wetu tuliemnunua kwa £ 35M kanyoosha Tegeta na Mkuranga naamini yule muuza jezi wako mkimpunguzia jukumu la kuchuuza jezi ipo siku atajaribu kutukana tusi la leo BTW tumetoa huduma ya 4G kwa Hull City [emoji4][emoji4][emoji4].
 
hongeren chief
 
hongeren chief

Chief ni wewe au kuna mtu ame-hack akaunti yako hapa?
Asante sana ila kesho utanisamehe nimemtuma kijana wangu Ighalo kuna point 3 utampa ni muhimu mpwa atakuja mchana hapo kwako [emoji23][emoji23]
 
Chief ni wewe au kuna mtu ame-hack akaunti yako hapa?
Asante sana ila kesho utanisamehe nimemtuma kijana wangu Ighalo kuna point 3 utampa ni muhimu mpwa atakuja mchana hapo kwako [emoji23][emoji23]

united watazichukua kwa arsenal acha kesho wapewe wakina ighalo
 
Chief ni wewe au kuna mtu ame-hack akaunti yako hapa?
Asante sana ila kesho utanisamehe nimemtuma kijana wangu Ighalo kuna point 3 utampa ni muhimu mpwa atakuja mchana hapo kwako [emoji23][emoji23]
tehee teheee ni mimi mpwa, hao akina ighalo saiz hawanipi shida mmeshachokoza sasa ni mwendo wa kichapo tu.

mama yupo na vijana hataki mchezo safari hii

G.O.A.T Zlatan + our legend

Pogbooooom

Mr trophy machine
 
Hongera sana aiseee!!!! [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Halafu uko online now ndo uko nchi gani nije kucelebrate nawe.....
 
Sina was was. . najua naenda kuchukua point zangu tatu , hawa watoto leo ni kuwapa mishindo ya pua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…