Confirmed line up;
Van der Sar, Rafael, Ferdinand, Vidic, Evra, Park, Carrick, Giggs, Valencia, Hernandez, Rooney
Bench: Kuszczak, Berbatov, Smalling, Nani, Scholes, Evans and Gibson.
Wacha tuko pamoja,nimepita tu hapa leo niwatakie kheri watani wangu kina Mfarisayo,Belinda,Manda,Eqlypz na wengine....kama Arsenal tumetoka si mbaya tukawaombea kheri wenzetu.....l.o.l:love:
Khe khe kheeee naona leo Manure hamtoki salama hapa Chelsick wameanza kwa kasi huu mpambano ...... ...... Tor the res chali mara mbili within a minute ..... ....
St.RR inabidi nimwamini ila akinichenjia nitamkumbusha ahadi yake..ooh yes, tukibomoa daraja nitakuwa happiest person on earth baada ya hiyo mechi!
usipotee bwanaaa!!!..:smile-big:
Nilikuwa nawasalimia Chelsick wakati namaliza comment Romney anaweka chuma chacha nipo hapa vipi Tor the res naye zamu yake nini? Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ... .... ... hola hamna kitu matanga bado yanaendelea kwenye cowshed. Tor the res kakosakosa hivyo ... Rafael anaokoa kona kwa mafioso ... ..