Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Morinho jitahid upigwe nje ndani na guardiola tu
Hao ****** wengine pigaaa wew umeshindwa kumsimamisha ila wapo watakaomsimamisha
Usijali mkuu tutafidia kwa arsenal hizi point tulizopoteza
 
Ndio maana tuliwapa Hilo garasha na bado tunawasubiri darajani waje na kapu la magoli man u wepesi sana Jana aguero angekuepo wangepigwa goli nyingi sans
 
jamaa alikuwa anakabwa na kijiji cha watu lakini still mpira haukuwa unapotea
Msianze kufarijiana kwa maneno matupu hapa.

City mfumo wao wakipoteza mpira lazima wautafute kwa nguvu tena wakiwa wengi mpk waupate... Ni km Barca vile... Wanataka wao wakae yani wamiliki mpira kwa asilimia 90... Na ndicho walichofanya Jana
 
Aiseee Hata Mimi niko very positive sijaumia Hata!!!!.....sema tu ile kibinadam ukifikiri sana ila moyoni am happy so kama mechi nyingine tukishindwa ninavyokuwa najiskia Vibaya sana.

Nadhani hii ni wake up call kwa team yetu kufanya marekebisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…