Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lazima upanic tu ushindi adimu city mana timu inayoongoza kwa kushinda mechi nyingi epl ni manchester united ikifuatiwa na aseno namo humo bado haupo tukusaidiaje ndugu? Makombe mtihani ndo mana unapagwa pagawa tu na mapicha
Huyo jamaa mnaepoteza nae muda katokea wapi?!!! Au ndio IDs kumi kumi. Mbona ghafla sana as if analijua saana hili jukwaa?!!
 
Kwa hali huwezi kuisaka history na lazima upagawe tu hakuna namna kwako ni vitu adimu hili jukwaa ukija jipange kweli sio unakuja na timu zako za kuzuka kama uyoga

View attachment 397743

Hebu Weka List Kamili Ya Michezo Yao Yote Sio Udondowe Unapotaka Wewe Ya Kuanzia Miaka Ya 1990s.
Toka Lini Chelsea Akaingia Katika Nafasi Hiyo Aliyo Wakati Kuibuka Wenyewe Kaibuka 2004! Kabla Ya Hapo Alikuwa Sawa na Bolton tu! Leo Hii ashike Nafasi Ya 3 Katika Kushinda Michezo Mingi???
 
Unataka kusema kati ya Pogba na Cadabra ni yupi beki na yupi Goalkeeper kati yao hadi unashangaa wao kufungwa na Ihenacho??
Poleni sn wadau lkn ktk hii game yenu MTU Wa kwanza kubeba lawama ni Jose Mourinho. Maana mfumo na mbinu aliyoaproach kuwakabili ciyu haikua nzuri ata kidogo. Kawanyima wachezaji Uhuru wamecheza kwa tension kubwa sn....
 
Amesahau kuwa Fellaini alistahili red for repeated nasty fouls
Mwamuzi alichezesha vizuri sana
Kwa kifupi mlizidiwa kila idara kasoro kipa tu
Kun Aguero angekuwepo leo mngekula 4
I never expect anything positive comment from Loserfool fans

Naelewa SAF alivyowaumiza
 
I never expect anything positive comment from Loserfool fans

Naelewa SAF alivyowaumiza

You sound like a typical Koppite I.e. Living in history
Ukitaka mambo Ya history then Loserfools ndio madume Ya mjini 5 times UEFA champion league winners Au Nottingham Forest and even Aston villa.
Live for the moment brother. Man City leo ndio kidume Na ndio habari Ya mujini
Fergie days are history
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…