Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huna historia utaongelea nini zaid ya kutafuta mapicha
Fernandinho Manchester City v West Ham United EEcTiSJoGvPl.jpg
 
SAF aligombana na Stam, Beckham,Pogba,Scholes,Tevez, Van Nistelrooy.

Jose amezungumza mambo 3
1.Amekiri City walicheza vizuri na waliizidi United kipindi cha kwanza

2.Baadhi ya wachezaji wa United walicheza chini ya kiwango na hajataja jina

3.Amezungumzia mwamuzi,kasema Bravo alimchezea Rooney faulu ilipaswa iwe penati na kadi

Kipi ambacho amekosea hapo?

Amesahau kuwa Fellaini alistahili red for repeated nasty fouls
Mwamuzi alichezesha vizuri sana
Kwa kifupi mlizidiwa kila idara kasoro kipa tu
Kun Aguero angekuwepo leo mngekula 4
 
Unaongelea HISTORIA..!!?
Kwangu HISTORIA huwa haina nafasi..!
Hata kwenye KIKAPU niko huku...
View attachment 397732So ni VYEMA usipoteze MUDA wako kuniletea HABARI za HISTORIA...
Kwangu HISTORIA huwa haina NAFASI kubwa katika MAAMUZI..!!!


Nikukumbushe tu hili jukwaa ni la mpira wa miguu sio mpira wa mikono kwa ulichokipost hapo inadhihirisha mpira hauujui ndo mana ukapost de brune kamkaba pogba.
 
Watu wengi wanaolaumu namna Pogba alivyocheza, uwezo wao wa kujua mpira ni mdogo. Kumbuka Man City walikuwa na viungo wengi wanaocheza karibu karibu.

Wakati Man U walikuwa na viungo wachache wanaocheza mbali mbali. Angalia Space iliyokuwepo kati ya Fellaini, Pogba, Micki, Lingard na Rooney utaelewa.

Wenzake walim isolate peke yake kati ya dimba, ikawa inabidi alazimike ku drible ili kuwafikia. Hiyo ilimfanya kuchoka mapema.

Mpira ni ushirikiano, ndicho walichotuonyesha City leo. Huwezi kufanikiwa kwa kutumia mchezaji mmoja mmoja.

At least Herrera aliongeza balance pale katikati kabla ya Pep kuua game kwa kumuongeza Fernando.

Mou anapaswa aanze kumuamini Herrera ili kumsaidia Pogba, Fellaini ni mrefu, ana maguvu, lakini hawezi ku cover space kubwa kusaidia wenzake.

Pia, ni muda muafaka kumchezesha Smalling kwa sababu Blind ameanza kurudia makosa ya last season, si mzuri kukaba (timu ikiwa under pressure).

Pogba "The Slow but Sure man"

Still nina Imani, ndo game zinaanza.
Umesema ukweli kabisa mkuu
 
Madhafanta..!!!



Lazima upanic tu ushindi adimu city mana timu inayoongoza kwa kushinda mechi nyingi epl ni manchester united ikifuatiwa na aseno namo humo bado haupo tukusaidiaje ndugu? Makombe mtihani ndo mana unapagwa pagawa tu na mapicha
 
Lazima upanic tu ushindi adimu city mana timu inayoongoza kwa kushinda mechi nyingi epl ni manchester united ikifuatiwa na aseno namo humo bado haupo tukusaidiaje ndugu? Makombe mtihani ndo mana unapagwa pagawa tu na mapicha
14264867_1201516359913248_5473465700620717809_n.jpg
 
Once, red and always red we had our chances at second half but we were not lucky enough to take em mistake happened n that makes the coach better coz another time he will make a good line up in order nat to repeat what happened today
Manchester is
 
Wewe kweli POYOYO..!


utaongea kila aina ya lugha hizo ni kauli za ma under dog humu jipange haswaa tunahitaji kubadilishana mawazo na wakina barcelona,buyern,real madrid sasa wewe city hata nottingham forest kumpangua inshu unazama google unakuja na picha za ma player huijui hata origin ya city alooo nakuonea huruma
 
Back
Top Bottom