Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nipo naangalia vijana wa Wenger

Vijana wangu hawana new idea. Tukiondoka na draw nitashukuru sababu Saints wanacheza vizuri na wanaweza kutupiga a sucker punch muda wowote.
 
Mkuu ni hivi Makocha mara nyingi hawawalaumu wachezaji hadharani. Kocha anatakiwa kufanya yale behind the scene. Hivi uliwahi kumsikia SAF akilaumu wachezaji hadharani? Hii inaweza kuvunja moyo au kuwafanya wachezaji kuwa nervous katika mechi zijazo.
Hao ni proffesional players wanalipwa kwa kufanya hiyo kazi
 
Mkuu ni hivi Makocha mara nyingi hawawalaumu wachezaji hadharani. Kocha anatakiwa kufanya yale behind the scene. Hivi uliwahi kumsikia SAF akilaumu wachezaji hadharani? Hii inaweza kuvunja moyo au kuwafanya wachezaji kuwa nervous katika mechi zijazo.
Acha kukariri wewe. Makocha wana approach tofauti mfano huyo Prof wenu ni bingwa wa kulaumu wachezaji wa upinzani, hio ni mbaya zaidi ya Mourinho kulaumu wachezaji wake. Mourinho ni muwazi na hilo sio geni labda wewe ndio hujui.
 
zama za Saf zishapita mkuu
 
Pole sana ila ni mapema mno kuumia hivyo hii ni mechi ya nne tu kati ya mechi 38. Jichangamshe kwa kuendelea na tizi la nanihii. πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Dah hamna kitu inapanda aiseee.....
 
Reactions: BAK
Yani wewe furaha yako mpaka jirani awe na majonzi.....

One thing I must make it Clear!! "Man United is a Shit that I hate Most in this World! Whatever the situation is, I'm always praying for only badness to happen to them
 
Hayo maombi yako yamewahi kufanya kazi kweli?
 
One thing I must make it Clear!! "Man United is a Shit that I hate Most in this World! Whatever the situation is, I'm always praying for only badness to happen to them
Vice versa is always true welcome to manhood [HASHTAG]#reddevil[/HASHTAG]
 
Acha kukariri wewe. Makocha wana approach tofauti mfano huyo Prof wenu ni bingwa wa kulaumu wachezaji wa upinzani, hio ni mbaya zaidi ya Mourinho kulaumu wachezaji wake. Mourinho ni muwazi na hilo sio geni labda wewe ndio hujui.

Mourinho alikorofishana na wachezaji wake akiwa Chelsea last season kwa sababu hii hii. Actually kulaumu wachezaji wa upinzani na marefa, pitch, weather hadharani ni jambo la busara kuliko anavyofanya Mourinho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…