Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unamwonea bure kwa hayo uliyomwandikia


nimempa kidogo ka muhtasari mkuu anachokiandika kinafanana na alipo mtu kama huyu lazima apagawe kushinda mechi akija kwenye title 0 ataachaje kupagawa
 
Unamwonea bure kwa hayo uliyomwandikia


nimempa kidogo ka muhtasari mkuu anachokiandika kinafanana na alipo mtu kama huyu lazima apagawe kushinda mechi akija kwenye title 0 ataachaje kupagawa
 
Hili la kuvunja rekodi ya forest huwa wananyamaza kabisa ukigonga hapo. Tumefungwa ndio mchezo tunajipanga mapambano yanaendelea.
 
Kuna watu humu ni either hawajui soka au wanafiki n utd lost the game against the best team in EPL so far! Sasa mtu anakuja hapa kutoa hitimisho mara kocha atatimuliwa blah blah!

Kocha afukuzwe kwa kufungwa mechi moja?! STFH....
 
Sasa unafiki wa nini? Kuna ambae hajaona school boy errors za Blind?

Mkuu ni hivi Makocha mara nyingi hawawalaumu wachezaji hadharani. Kocha anatakiwa kufanya yale behind the scene. Hivi uliwahi kumsikia SAF akilaumu wachezaji hadharani? Hii inaweza kuvunja moyo au kuwafanya wachezaji kuwa nervous katika mechi zijazo.
 
Jamani mmesikia the special one anawalaumu wachezaji wake hadharani kwa kufungwa leo... Kweli a Leopard can never change its spots. More to come from the Mourning one.
Tofauti na Wenger ambaye huwa anawasifia wakifungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…