Hii sio kauli ya shabiki na mpenzi wa manchester,
Moja ya kauli mbiu ya united ni NEVER GIVE UP na kua na spirit ya ushindi untill the last minute.
Anastahili kuchukua hiyo ingawa FA hawajamkubali wamemkubali Valencia ##GGMU
Player of the month
Manchester United lazma ishinde.Kesho unaona nani atashinda kati ya man city na man utd?
Nilikua nasubiri hii siku mdogo angu ili utukie tuliii sasa naona mungu mkubwa hahahapremier league manager of the month for august
Nilikua nasubiri hii siku mdogo angu ili utukie tuliii sasa naona mungu mkubwa hahaha
Hapo wachezaji ni wawili tu fernandinho na silva bado mechi ile wote wawili walikuwemo dakika ya 43 rashfod aliwaliza kamoja tu etihad na kesho atakuwepo
Sio kosa lake. Msamehe tubwana hizi picha zako si kuna jukwaa lenu?
Unapigwa na baba ako??Kesho tunapigwa daah
Ina maana leo martial anakaa bench??CONFIRMED UNITED XI:
De Gea, Valencia, Bailly, Blind, Shaw, Fellaini, Pogba,Mkhitaryan, Rooney, Lingard, Ibrahimovic. Subs: Romero, Smalling, Herrera, Mata, Schneiderlin, Martial, Rashford.