Halafu mnajua nini wakuu,
Kuanzia leo naanza kuhesabu mechi ambazo Degea hajageuka kambani kuokota mpira. Leo ni mechi ya pili. Kwa ukuta huu, kiungo hiki, naamini atavunja Record ya Vandeser ambaye kipindi fulani alienda mpaka mechi ya 11 kama sikosei.
GGMU GGMU GGMU
BACK TANGANYIKA