Zipo K/koo madukani mfano pale Big Bon kwa mbele.....ukipata original inadumu km niliyoonyesha ina miaka kibao No mpauko, No kufutika
Ht Mlimani City unaweza kupata
New signings
Chelsea- Batshuayi scored
Man united- Zlatan scored
Man city- Nolito scored
Liverpool- Mane scored
Spurs- Wanyama scored
Arsenal- Takuma is pregnant
Luna mtu kafafanua vizuri hapo juu mi naongezea tu kwamba mwanzo wa msimu wa ligi bei huwa juu zen ligi inavyoyoyoma bei hushuka 7bu kila msimu kuna toleo jipya la jezi
Luna mtu kafafanua vizuri hapo juu mi naongezea tu kwamba mwanzo wa msimu wa ligi bei huwa juu zen ligi inavyoyoyoma bei hushuka 7bu kila msimu kuna toleo jipya la jezi
EPL bwana haina mwenyewe. Kila mechi ni tofauti na huu ndio mwanzoni mwa ligi hatuwezi kupata picha ya ligi inatakwenda. Waache wanaochekelea pointi 6 za mwanzoni