Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilichojifunza kwenye mechi ya leo:

Ile fear factor ya Old Trafford inaanza kurudi taratibu.

Mkubwa Fella ( Fellaini )amepiga shughuli flani ya kiutu uzima leo.

Pogba bado hajawa fiti asilimia 100 lakini movement zake ni za hatari tunaomba marefa wamlinde. Baada ya muda mrefu sasa tumepata Box-to-Box Midfielder.

Ni bora Zlatan Mzee kuliko Giroud Kijana.

Eric Bailly ni Nemanja Vidic mpya!!
 
daaaah nnavyoona hii kiungo ya leo inaweza kuwa choice ya morinho hasa kwa filisofi yake ya kuwa solid defence na mashambulizi!!! kwa mpira wa felain hizi mechi mbili kwa kweli ame improve sana.....sina la kuongeza kuhusu pogba kwa kifupi ni kweli alikua mrithi wa scholes na man u walifanya kosa sana kumtoa!! good news is he's back home, he's playing well and he's happy!!!!

#GGMU #fistneverfollow
 
Kwa sasa hakuna anayepiga kelele, Pogba kawanyamazisha
 
Nadhani ifike wakati Martial anakuwa utilized. Huyu jamaa napenda sana awe anatupia. Asiwe kivuli uwanjani.
 

inaonekana kurudi kwa sababu unashinda, wanasema ukishinda gemu 3 mfululizo unakua na hari kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…