Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hahahahahaaaa ibraaaaaaaaaaah penalt goaaaaaaaalll hhehehehehe wapi wakaanga sumu????
 
Haina ushemeji tunajipigiaga tu. Zamu ya nani leo, zamu ya Soton.
 
Chemistry ya kikosi imekaa vzr sana
uko sahihi mkuu....hasa kwenye kiungo na mbele...nimependa sana pogba anavyo miliki kiungo..anavyogawa mipira na jinsi alivyo stable na nguvu pia!!

Nadhani smalling inabidi ajiulize mara mbili kuhusu namaba yake pale nyuma
 
Majirani leo huu mlango umekuwa wa Moto, Tena Moto wa Lava!!!

Nawataka wote waliokuwa wakidai Pogba hana thamani ya £89. Thamani na radha halisi ya Soka aka Football au Kabumbu kwa lugha ya kwetu inaonyeshwa hapa na huyu wana..!!

Kunajamaa alijiuzuru kushabikia Ars, Kafanya uamuzi mzuri, maana wenzake wanajing'oa nyongo. Sasa mlango uko wazi aja apate raha hapa OT

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…