Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Its better ukakaa chini ukajiuliza kwann mlitemwa na vardy licha ya kuwa na msimu bora kabisa ndani ya miaka 12, ukaacha kupiga ramli humu ndani wakati mafanikio yenu makubwa kwa zaidi ya miaka kumi sasa ni kumaliza juu ya spurs na utd.
Vardy hakutumia busara kabisa
 


Klopp aende wapi mzee fainali zote looser tu
 


halafu unasahau makocha wanaajaliwa ili wafukuzwe mou sio kocha wa kwanza kuifundisha red devils akishindwa kufikia malengo lazima afukuzwe ila kwa usajili hizo timu zenye nguvu ulaya toka 2000 had leo wamepita makocha wangapi kimpira sioni manchester united kupotea hilo sahau.
 
Kuspend ni vizuri Ko kibiashara bila faida au na faida
Tunachokifanya ni muhimu sana kwasababu bila kufanya hivo utakuwa kama liverpool au arsenal unajisifu na historia ambayo wakati kiukweli tunaendelea kwenda chini na unaatract less companies kwako na hakuna fan base mpya unayoitengeneza kwasababu ya mafanikio madogo .
Ndo maana Leo watu wanasema liverpool ni timu ya wazee, una ona same situation kwa Newcastle. So , hatutaki kufika huko, ndo maana mi nasuport matumizi ya hela nyingi as long as tumezitengeneza wenyewe.
 

Badala ya kuishauri timu yako, uko uki bze unaishauri Man Utd ili ifanikiwe.
 
Kesho kuna mtu ataondoka na hatrick..
Kina timu itakula goli za kutosha.
 
Mou kasaini man u miaka mi3 anasajili wazee wa miaka 33 sasa kama si immediately recovery ni nini nawaza kama mtashindwa kudeliver itakuaje mtamfukuza au ndio story
 
Hivi Patrick McNair aliuzwa au yupo on loan at Sunderland?
 
Wanaoweza kucheza mechi moja ni 11 mkuu na watatu wa akiba. timu ina wachezaji zaidi ya 20.
Utakuwa unanifunsha basics za soka, my question wasn't about that though.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…