Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,543
- 35,401
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ila mbona ana timu nzuri. Msimu huu tutaona mengi sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama namuona Ranieli anavyofukuzwa kabla ya disemba....
Hapo red sisi hapatuhusu kwetu ni mwendo wa pointi 3 tu [emoji41] [emoji41]
Ila ajiandae Ranieri maana timu zimejipanga