Mkuu hizi mambo umetengeneza mwenyewe nini?
Ngoja nikalegee kwenye jukwaa langu [emoji2] [emoji2]Shindwa na ulegee hapo hapooo
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23]Mhhhh wasaga sumu wengiiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2]Wacha wee
Nipo mkuu ..... habari za sikuWewe jamaa upo?
Safi tu. Naona wazee NNE NNE tuNipo mkuu ..... habari za siku
[emoji2] [emoji2] Pre season huwa hainipi preshaSafi tu. Naona wazee NNE NNE tu
Kumbe, ligi ipo njiani tujipange kushangilia kucheka kuhuzunika kuponda timu nyingine. Hahahah[emoji2] [emoji2] Pre season huwa hainipi presha
Shukran naona umekuja kutoa hongera kisha unaondoka ungekaa kidogo.Hongereni [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Naam [emoji122] [emoji122] [emoji122] niambie mkuu. Baba yangu Mourinho kaanza kazi kwa kuinua ngao......Shukran naona umekuja kutoa hongera kisha unaondoka ungekaa kidogo.
Wawaulizia first ladies wetu?
Inaitwa "Hit them folks" [emoji266] [emoji266] [emoji266]Uzuri mmeshaonesha njia ya kuwa msimu huu hamtabeba kombe lolote tena baada ya kuchukua 'the cursed cup' [emoji12] [emoji12] [emoji41]
Nimelipenda goli la dogo Lingard limenifungulia file la magoli mazuri 2016/17 kwangu, hii staili mpya ya ushangiliaji inaitwaje? Maana naona kaamua kuibadili baada ya kuona king of dab anakuja
All in all hongereni watani kwa kujitutumua
Kumbe, ligi ipo njiani tujipange kushangilia kucheka kuhuzunika kuponda timu nyingine. Hahahah
#waitingFORepl