Usisahau Wenger hajawahi kumfunga Mourinho
Wanafwata Everton..... Mechi ya wayne rooney
Mkuu asante sana kwa kuliona hilo piga ua lazima Rooney aanzeHuyu ni mchezaji ambae man u haitakiwi kumkosa uwanjani..uwepo wake tu unawapa nguvu wengine..
Zlatan Ibrahimovic
WengeWenger ndo nani[emoji86]
Lazima uizungumzie United ili upate attentionMatokeo mazuri.
Wako wapi waliokuwa wanamtukana Zlatan?
Amekuja bure ila atatupa matokeo mazuri mara kwa mara.