Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pigaaaaaaaaaaaaaa mwenye unabii wa 6-2 naona unatimia sasa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji176][emoji176]
 
Kwa mpira kama huu mtauwa wengi. Mnatishaaa vs Gozigozilatary
 
Yulleeeeee shabiki wa man u nilietukuka ninaenda kulala huku mimeno yote 32 iko nje[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Matokeo mazuri.
Wako wapi waliokuwa wanamtukana Zlatan?
Amekuja bure ila atatupa matokeo mazuri mara kwa mara.
 
Safiiii GGMU....Asanteni wote kwa ushirikiano wenu nimeinjoi my weekend......haya waleteeeeeeeeeeeee haoooooooo Leicester[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ......nice weekend bora August iingie tuanze ligi[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]
 

Bado kwanza. Tunahitaji mechi nyingine kama mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…