Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

13669065_1197308947002996_7065388066960353169_n.jpg
 
Jose Mourinho, kafanya mistake kubwa kumuacha huyu dogo Timothy Fosu-Mensah, kwenye kikosi chake.
 
Tangu Mourinho amekuja kuna uzushi mwingi umeandikwa.Walishaandika
Mata anauzwa
Depay anauzwa
Blind anauzwa
Darmian anauzwa
Jones anauzwa
Bastian anauzwa
Valencia anauzwa
 
Tangu Mourinho amekuja kuna uzushi mwingi umeandikwa.Walishaandika
Mata anauzwa
Depay anauzwa
Blind anauzwa
Darmian anauzwa
Jones anauzwa
Bastian anauzwa
Valencia anauzwa

Nusu ya hao watauzwa... Atakayebaki ni kati ya Depay, Jones, Blind maybe Damian.. Pesa itakayotumiwa kulipia Pogba lazima irudishwe angalau nusu ya robo kama sio robo nzima.
 
Tangu Mourinho amekuja kuna uzushi mwingi umeandikwa.Walishaandika
Mata anauzwa
Depay anauzwa
Blind anauzwa
Darmian anauzwa
Jones anauzwa
Bastian anauzwa
Valencia anauzwa

Hapa anaweza kuondoka Bastian na Jones tu
 
Nusu ya hao watauzwa... Atakayebaki ni kati ya Depay, Jones, Blind maybe Damian.. Pesa itakayotumiwa kulipia Pogba lazima irudishwe angalau nusu ya robo kama sio robo nzima.

Ujio wa Pogba +Carick ,automatically Bastian ataondoka.Issue ya Mata Jose alishazungumza so labda kama Mata mwenyewe atataka kuondoka kama alivyotaka alivyokuwa Chelsea .Wachezaji watakaondoka wengi ni chipukizi
 
Kocha anamtaka Pogba na klabu inayo hela ya kumnunua ,sasa unataka Matuidi asajiliwe na nani ? Pesa sio issue kwa Man United
Pesa isjngekuwa issue kwenu mngepandisha hiyo 20/= ya Raiola ili mubebe chenu.
 
Pogba namkubali sana, pili pesa sitoi mfukoni kwangu lakini hiyo pesa ni nyingi MNO kwakweli, Tuangalie option nyingine
Unakumbuka pressure aliyokuwa nayo Bale pale Madrid kutikana na transfer fee yake?

Sasa kwa huyu Pogba itakuwa kubwa zaidi kwakuwa kuna wakina scholes kama ma pundits.......

Jamaa akionyesha kiwango mavi tu... Basi Magazeti ya Uingereza yanaanza kutafuta la kusema.
 
Tangu Mourinho amekuja kuna uzushi mwingi umeandikwa.Walishaandika
Mata anauzwa
Depay anauzwa
Blind anauzwa
Darmian anauzwa
Jones anauzwa
Bastian anauzwa
Valencia anauzwa
umesahau uzushi mwengine. Pogba anakwenda Man u
 
Back
Top Bottom