Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Hahahaha nimeupenda ukwel wako mkuuTimu yangu inakuja huku wiki hii. Wanacheza mechi 2 California, juu ya usajili hali ni ile ile mwendo wa kono kono. Competition msimu huu itakuwa ngumu sana. Hadi sasa nimejiandaa kupoteza mechi 4 vs timu zote toka Manchester, mechi nyingine zinaweza kutuotea au tukawaotea.
Hiyo issue ili anzio kwa Figo waqt anatoka bacelona kwenda Madrid aliomba jezi namba 7 akaambiwa hiyo jezi huwezi kupata ni ya kijana wetu Raul.Raul aliindoka baada ya CR7 kuonyesha kiwango,unafikiri kama Martial angejulishwa ndio angefurahi ? Kuna tatizo kubwa wachezaji vijana wa siku hizi wanawaza hela kwanza badala ya ku-concentrate kucheza soka
Mbna unapenda kuwazingua wanaDonDonald naona 3 Lions mmepata kocha kifaa mzuri. Big Sam atawarudisha katika anga za kimataifa, hamtagongwa na vitimu vidogo kama Iceland chini ya uongozi wake.
Wanakuza tu...mi sioni ishu kwanza Martial ni mtu poa hapayuki kwenye MediaIssue ya ndugu Martial nadhani kaheshimiwa zaid kuliko kuonewa jezi namba 11,kwa utd ni jez ya ki legend kuliko hata hiyo 9 na yeye bado mdogo acheze kwnye kiwango cha juuu mfulilizo tgen ata ji establish kama entity ya kudumu hapo baadaye
Pia hizo brand alikosea mbona ufaransa ana vaa jezi namba 11!! Naona club haijafanya shda yyte hapo
Na kweli media ndo zina pamba tukioWanakuza tu...mi sioni ishu kwanza Martial ni mtu poa hapayuki kwenye Media
Suala lake litamalizwa kiungwana tu
Watu wanaona tunaanza kujipanga ndo wanaleta hizi figisu figisu za kubumbaWanakuza tu...mi sioni ishu kwanza Martial ni mtu poa hapayuki kwenye Media
Suala lake litamalizwa kiungwana tu
Watu wanaona tunaanza kujipanga ndo wanaleta hizi figisu figisu za kubumba
Inabidi atafutwe
Moto ulio anza nao uendelee nao sio baadae uzime
tehteh Euro bora isije tena sina hamu nayo EPL ianze tu. huwa ikianza DonDonald anatizama sana Comedytv ya Arsenaltv huwa mwisho wanapigana wenyewe kwa kubishana WengerOut hashtag!Wiki 3 sio nyingi, tutaanza kukimbiana humu. Pazi akiliwa quid zake kwa bookies ataanza kampeni ya kumfukuzisha kazi Klopp lol.
Naona hata Tony akija*ba msaga sumu wewe utatutaarifu....hicho kigazeti cha udaku na chenye mlengo wa kipopulist kama alivyo mtukufu rais JPM, hata kuchamb*a hakifaiJumping ship? Man Utd star Anthony Martial imitates iconic Titanic pose
Dogo ameshaanza kuona hana future Old Trafford baada ya anti-young players kuchukuwa mikoba.