Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hiki kitendo cha kuchukua namba ya martial bila kumtaarifu sio cha kiungwana kabisa.

Hope litawekwa sawa

C'moooooon kumbuka kua Ibra is Utd's god anaamua kila kitu who's Martial by the way...just kiddin bro,mtapata taste halisi ya arrogant manager(Mou) and player(Ibra) haaaa haaaa kulea ivi vitoto kama Martial ni kipaji aiseeeee inabidi uwe na upendo navyo otherwise dogo ataanza utoto rasmi wakati alionyesha maturity last season ivi vitu vidogo vina matokeo hasi mengi.
 
Jose Mourinho admits the Manchester United legends
working in the media can have a significant impact on
the fans' mood but said he would accept their criticism.
Roy Keane, Paul Scholes, Gary Neville, Ryan Giggs, Rio
Ferdinand are among the former United stars to have
worked in the media in recent years, and many have
offered forthright views during the club's difficulties
since Sir Alex Ferguson retired in 2013.
While Mourinho has faced little criticism at this stage,
Scholes made headlines this weekend when he told
Sport Witness that Paul Pogba is not worth anywhere
near the money United are expected to pay for him, and
Owen Hargreaves told the Manchester Evening News last
month that the club were "spooked" into hiring the
Portuguese.
Mourinho accepts that the club's former players have the
power to "create a more difficult situation" but said he
was more than happy to welcome them at the club.
"At this club you find legends from five years ago,
legends of 10 years ago, legends of 15 years ago and
legends of 20 years ago," he said in The Sunday Times.
"Their voice becomes very powerful. That is something
you have to understand. When people belong to the club
history, they are different to a normal pundit. You have
to look at them in a different way. You have to be
respectful with these guys.
"They are so powerful in the fans' world that they can
influence positively or negatively. The fans love them, so
when they are positive they can unite and when they are
negative they can create a more difficult situation.
"They are working and have to try to be honest and
independent. So, myself, as Manchester United manager
cannot ask them, 'You belong to our history, you are
here to help.' You have to accept that if they are happy
with the team they can elevate the support; if they are
not happy maybe they can disturb and make things more
difficult.
"I would say to them, 'You are welcome at the training
ground.' Any time you want to give an opinion,
welcome, it is your house, it is your home and you can
be back when you want."
Meanwhile, Gary Neville has dismissed any suggestion he
could take a role on the coaching staff at United, telling
The Sunday Times: "That's not going to happen."
 
Daaah kiukweli siyo haki kabisa ilibidi dogo wampe heshima yake last year jezi yake worldwide kwenye mauzo ilikuwa ya 3 too sad, kwa kweli Ibra he's not a king but a god to man u teeeeehe teeeeeh

Mchezaji anasajiliwa na analipwa acheze mpira sio kuchagua jezi. Hata CR7 alivyoenda Real Madrid hakupewa jezi no 7 akaonyesha kiwango Raul akaondoka mwenyewe finally wakampa jezi.
 
Nimejikuta swala la Martial limeniuma mpaka basi.......kwa jinsi ninavyompenda Martial hajatendewa haki kabisa........ndipo unapojikuta mnaanza kumkumbuka VG
 
Kwahiyo hapa man u pia wamekosea kuchukua jezi ya martial.... Na isitoshe Ibra ni wa mwaka mmoja.....
Ishu sio kuchukua namba ya jezi, ishu kubwa ni kwann dogo hakujurishwa?

Mwaka jana bastian alipotaka jezi namba 31 kocha kaongea na fellain, fellain karidhia kumwachia ye kachukua 27, hata morgan pia alikua akihitaji namba 8 lakin mata alikataa alisema labda namba 10 isingekua na mtu angemuachia morgan 8 ye achukue 10,

Ishu kubwa ilikua ni mawasiliano tu
 
Nimejikuta swala la Martial limeniuma mpaka basi.......kwa jinsi ninavyompenda Martial hajatendewa haki kabisa........ndipo unapojikuta mnaanza kumkumbuka VG
Just imagine upo likizo kikazi alafu unakuja kurudi unakuta ofisi yako kapewa mtu mwingine mgeni we umehamishiwa chumba kingine bila hata kukutarifu,

Najua utaendelea kufanya kazi lakini moyoni unajua kabisa kwamba huthaminiwi
 
Mchezaji anasajiliwa na analipwa acheze mpira sio kuchagua jezi. Hata CR7 alivyoenda Real Madrid hakupewa jezi no 7 akaonyesha kiwango Raul akaondoka mwenyewe finally wakampa jezi.
Mkuu ushasema Raul akaondoka then akaachiwa CR.... Ila hapa kwa Martial yupo wala hajataarifiwa then anapewa Ibra . Hapa ishu kubwa inakuwa ni morality dogo anaona kama kadhauriwa yawezekana kabisa spirit yake ikapungua
 
Mkuu ushasema Raul akaondoka then akaachiwa CR.... Ila hapa kwa Martial yupo wala hajataarifiwa then anapewa Ibra . Hapa ishu kubwa inakuwa ni morality dogo anaona kama kadhauriwa yawezekana kabisa spirit yake ikapungua
Raul aliindoka baada ya CR7 kuonyesha kiwango,unafikiri kama Martial angejulishwa ndio angefurahi ? Kuna tatizo kubwa wachezaji vijana wa siku hizi wanawaza hela kwanza badala ya ku-concentrate kucheza soka
 
Raul aliindoka baada ya CR7 kuonyesha kiwango,


Mkuu kumbuka pia Raul aliondoka umri pia ukiwa umemuacha ilikuwa ni no way out lazima aondoke tu..

unafikiri kama Martial angejulishwa ndio angefurahi ?

Ingekuwa ni heshima kwake hasa ukizingatia namba 9 aliifanya kuwa brand yake pia

Kuna tatizo kubwa wachezaji vijana wa siku hizi wanawaza hela kwanza badala ya ku-concentrate kucheza soka

Sidhani kama hela ndiyo inamkosesha amani kumbuka pia Martial ni kati ya wachezaji wanaosifiwa kuwa wastaraabu
 
Raul aliindoka baada ya CR7 kuonyesha kiwango,unafikiri kama Martial angejulishwa ndio angefurahi ? Kuna tatizo kubwa wachezaji vijana wa siku hizi wanawaza hela kwanza badala ya ku-concentrate kucheza soka
Mkuu ishu ya Raul kidogo ni tofauti na hii, ronaldo alipokua anaenda madrid alikuta namba 7 tayari ina mtu ambae ni club legend ( hakuna mtu aliekua amechukua namba yake bila kutaarifiwa kama ilivo kwa martial)
 
Unafikiri hiyo brand anayoizindua sio project ya hela ?
 
Kwenye mahusiano na wachezaji, mou huwa ni dikteta. Hii habari ya jezi ya martial inaonyesha mwanzo mbaya.
 
Unafikiri hiyo brand anayoizindua sio project ya hela ?
Sawa ni hela ....

Jaribu kufikiri mkuu kesho unaamka unakuta kila ukiingiza password zinakataa unajaribu kutumia njia ya forget password napo inakataa then unaingia kama guest halafu unakuta kuna mtu anapost humu through your account na unapata taarifa mods wameamua kumpa mtu mwingine account yako utajiskiaje?
 
Mkuu ishu ya Raul kidogo ni tofauti na hii, ronaldo alipokua anaenda madrid alikuta namba 7 tayari ina mtu ambae ni club legend ( hakuna mtu aliekua amechukua namba yake bila kutaarifiwa kama ilivo kwa martial)
Unafikiri Martial angepewa taarifa ndio angekuwa comfotable ?
How Martial ana miaka 20 anaanza kulilia jezi na mchezaji mkongwe the same issue hata kwa Depay
 
Mnachanganya issue namba ya jezi haina influence kwenye perfomance ya mchezaji hizo brand kuanzia kina Ronaldo (R9),Ronaldinho (R10),Cristiano Ronaldo (CR7) Rio Ferdinand (R5) wote hawakuanza kufikiria hizo brand kwenye age kama ya Martial walicheza mpira wakaonyesha viwango baadae brand zikaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…