Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Team news: Rio and Vida out

10:00 Sir Alex says Rio Ferdinand and Nemanja Vidic are both unavailable for the weekend clash with Bolton. Vidic should be back after the international break. Jonny Evans could come back in "but it's a risk as he's been out so long". John O'Shea is out for five weeks, while Rafael will be missing for two or three weeks, both with hamstring injuries. On Rio, Sir Alex adds worryingly: "We may be lucky to get him back for part of this season." More updates from the presser... (GT)

"
Mzee wenu kamficha Vidic asicheze International Break,Tumemshitukia na hii sio mara ya kwanza kusingizia wachezaji majeruhi kwa sababu tu hataki waende kucheza International matches.
 
Mzee wenu kamficha Vidic asicheze International Break,Tumemshitukia na hii sio mara ya kwanza kusingizia wachezaji majeruhi kwa sababu tu hataki waende kucheza International matches.
Mara ya mwisho Serbian FA hawakumchezesha Vidic kwa sababu Man Utd waliwaomba wasifanye hivyo this time around Vidic is injured wacha yengele kutoka kwenye blogs za Arsenal, besides that Man Utd ndio muajiri wake therefore they should have a final say.
 
Mnatembeza bahasha kila mahali.Sasa kila timu zikiomba FA zisiwachezeshe wachezaji basi hakutakuwa na umuhimu wa National timu.
 
49E76F9C968846CEB301C11CE5B6FF7C.ashx

in memory of moscow
 
hernandez_1274932a.jpg

JAVIER HERNANDEZ admits he has had to hit the gym to deal with the physical demands of the Premier League.
 
Manchester United v Bolton, Saturday 3pm
Jonny Evans and Park Ji-sung are set to return for United when the Premier League leaders tackle Bolton at Old Trafford tomorrow.
But the Red Devils are beset by injuries, with skipper Nemanja Vidic remaining on the sidelines with a calf problem where he is joined by Rio Ferdinand, Darren Fletcher, John O'Shea and Rafael amongst others.
Boss Alex Ferguson will not be there either as he starts a five-match touchline ban after accepting his punishment by the Football Association yesterday.

Squad: Van der Sar, Kuszczak, Amos, Smalling, Brown, Evans, Evra, Fabio, Gibson, Scholes, Carrick, Obertan, Park, Bebe, Giggs, Rooney, Berbatov, Hernandez, Owen and King.
 
aaHernandez_2519630.jpg

Manchester United hit-man Javier Hernandez says playing alongside Wayne Rooney is a "dream" for him.
The Mexican has flourished in his debut season for the Red Devils which has seen him net 16 times and strike up an impressive partnership with the England forward.
 
Jonny Evans kapewa kadi nyekundu, hii mechi ya leo performance ni mbovu in years I guess ni CL hangover.
 
Duh tumekoswa koswa na Taylor, alafu hyu Kevin Davis anaruhusiwa faulu ngapi mpaka apewe kadi?
 
ahahhahahhah!! Dk ya 88 Berbatov kapiga goli , halafu imeongezwa dakika moja tu. Hahah !! Hapa ndio ninapomkubali si Ferguson.
 
J.Evans--- red card. Huyu dogo keshatu cost tayari.
Dah we held on, precious three points and I must say it was a season defining moment. Arsenal wamedraw sasa hivi my main worry ni Chelsea.
 
ahahhahahhah!! Dk ya 88 Berbatov kapiga goli , halafu imeongezwa dakika moja tu. Hahah !! Hapa ndio ninapomkubali si Ferguson.
Mkuu waliongeza dakika nne, mwishoni mwishoni Smalling karibia afanye blunder ya kufa mtu.
 
Back
Top Bottom