Duhhhh lilikuwa limenitoka booonge la mtusiiii kuja kusoma kumbe ni Wewe my boiifrendo!!!Usimfananishe Balotelli na vitu vya kijinga
Nakusubirinakuja nikunongoneze ucjali ila usimwambie mtu
Mimi naamini anaweza kufanya kitu kokubwa sn pale OT ila siungi mkono gharama yake asee. Hyo pesa ni nying sn,na mchezaj wa gharama hyo anatakiwa awe too exceptional kitu ambacho ckioni sn kwa PaulMi ni shabik Wa man u
Ila binafs sijamkubal pogba na sion kama pogba anaweza kuwa msaada pale ot
Sijaona cha muhm alichokifanya cha kutisha mpaka kununuliwa kwa kias kikubwa hivo
Ni bora matuid angeweza kuwa na msaada mkubwa sana kulko pogba
Pia kwa stayl ya mou
Matuid alikuwa ni bora zaid ya pogba
Ni mtazamo tu
Leo hii balotelli anaonekana lulu wakati mlimkataa. Acha kumfananisha Pogba na mambo ya kijinga
Duhhhh lilikuwa limenitoka booonge la mtusiiii kuja kusoma kumbe ni Wewe my boiifrendo!!!....... hahahhha Leo sharo Balloteli kawa mzuri?
Ha ha ha ana caliber flani za Baloteli. Ana mambo flan ya kiboss sn. Ila kazi anaipiga jamani na endapo tutampata ataibadili sn middle yaan U.Ila to be honest simpendagi kiiivyoooo yaani nikimuangalia sijui kwanini namfananisha na Balotelli...
Hahahaha acha hizo. Basi Kila mtu amkubali wa kwake. Acha kumfananisha Pogba na mambo ya kijinga Balotelliunaniiga .... Balo sijawahi mkataa mimi bado namuamini kama Pirlo anavyomuamini
Most shirts sold in 2015-16:
Manchester United - 2,850,000.
Barcelona - 2,290,000.
Real Madrid - 1,980,000.
Chelsea - 1,650,000.
Bayern Munich - 1,500,000.
Msimshushie hadhi Balo kihivyo kwa ujinga wa PogbaHahahaha acha hizo. Basi Kila mtu amkubali wa kwake. Acha kumfanisha Pogba na mambo ya kijinga Balotelli
Huyo Balo amekosa Euro sababu hana kiwango. Pogba kafanya kazi kubwa EuroMsimshushie hadhi Balo kihivyo kwa ujinga wa Pogba
Hahahhahha utapofukaaaaa na masikio yatazibanatamani nilione hilo 'booonge la mtusiiii' maana sitakuripoti kwa mods tutayamaliza wenyewe
Balo mkali saa hizi ana-focus na balloon d'Or siyo na mambo ya kijinga
kusema ukweli sioni dalili yoyote kama Pogba atasajiliwa. nitakua wa mwisho kuamini kama atasajiliwa.Ngoja tuone kama atakuja aitendee haki hiyo hela.
Mimi naamini anaweza kufanya kitu kokubwa sn pale OT ila siungi mkono gharama yake asee. Hyo pesa ni nying sn,na mchezaj wa gharama hyo anatakiwa awe too exceptional kitu ambacho ckioni sn kwa Paul
Ngoja tuone nini kitatokeakusema ukweli sioni dalili yoyote kama Pogba atasajiliwa. nitakua wa mwisho kuamini kama atasajiliwa.
Okay......Mawazo tu ila kuhusu Martial, sijawahi kuzungumza.
Unalalamika hizo pesa ni nyingi kwani zinatoka mfukoni mwako? Kulalamikia gharama wakati uchangii hata buku ni kujitia stress bila sababu.
Babu wenger naona hayupo........Most shirts sold in 2015-16:
Manchester United - 2,850,000.
Barcelona - 2,290,000.
Real Madrid - 1,980,000.
Chelsea - 1,650,000.
Bayern Munich - 1,500,000.
Hao ni wivu tu unawasumbua.....wanamtamani angetua kwenye timu yao.Ukute huyo mtu hajawahi hata kununua jezi original toka Man Utd. Ukiangalia ule umri na potential yake ile hela inarudi ndani ya muda mfupi sana.
Ronaldo alivunja rekodi ya usajili, kila mtu alisema ni hela nyingi lakini sasa Madrid wamerudisha hela yao na faida juu. Tulimchukua DiMaria kwa pesa ndefu kila mtu alisema hivyo, hatukufilisika na faida tukatengeneza.
Na wasijue Utd ni timu kubwa sana duniani hiyo hela ni kama Mengi anaenda kununua gari yard.
Pia, mauzo ya tshirt msimu uliopita tuliongoza pamoja na kuwa na magarasa na kuwa nje ya top 4. Sasa mwaka huu tuna Zlatan, Makhtaryan, Rooney, Martial nk si tutawafunika?
Hela sio nyingi hiyo.