Ni kweli mkuu uko sahihi kabisa tusubir tuone kitakachoendeleaTuna Morgan, alafu jamaa ana 29 wakati pogba ana 22, ( zlatan & bastian tumewasajili na umri mkubwa sababu za kibiashara)
Sina maana kwamba jamaa sio mzuri, ni mzuri ndio but sidhani kama itakua ni massive improvement kwenye mido yetu pia tunahitaji mchezaji ambaye ni more creative dan him.
Nawatakia kila la kheri ... kama Pogba akija nataka ani-prove wrongMsaga sumu tuachie timu yetu hahah
Unaitoa wewe[emoji87] [emoji85] [emoji125] [emoji125]Hata kama Dada ile hela nyingi sana.
Yes natumai mambo yatakuwa bombaSports led everlenk naanza kuona mambo ya mou na man kuwa mazur msimu huu
Duhh sijui nikujibuje ila ndo hivyo si unajua tena shati lile lile kko ni 10,000 ukienda mliman city ni 70,000......sema si mkali kihivyo ila ana unique zake.Swal ni je pogba anaweza itendea hak kias alichoigarm tm?
Na na je pesa alonunuliwa pogba inafanana na kiwango chake?
Ngoja tuone kama atakuja aitendee haki hiyo hela.Nawatakia kila la kheri ... kama Pogba akija nataka ani-prove wrong
Hahahah usije kulalamika hajaitendea haki hiyo hela.Unaitoa wewe[emoji87] [emoji85] [emoji125] [emoji125]
Ila to be honest simpendagi kiiivyoooo yaani nikimuangalia sijui kwanini namfananisha na Balotelli...[emoji34]Hahahah usije kulalamika hajaitendea haki hiyo hela.
Nimesema tu
Wamefanana wote wananyoa viduku. Huyu pogba sio kwamba hajui la hasha sema hiyo hela ya kumnunua ni kubwa ingawa hatutoi sisi. Hahaha ngoja tuone kama atanunuliaIla to be honest simpendagi kiiivyoooo yaani nikimuangalia sijui kwanini namfananisha na Balotelli...[emoji34]
Vipi kwemaa???All the best Shaw.....
@LukeShaw23: "I'm looking forward, not back. My leg feels great. I want to push on and get fully fit." #MUTOUR
Shaw on Jose: "I'm enjoying working with him. We're going to challenge for every title. It's a fresh start & we're feeling good." #MUTOURView attachment 368827
Asante sana my kaka, kwemaaa kabisaaa,nitajitahidi nisikosekane......Vipi kwemaa???
Ukiamua kupotea huwa unapotea jumla, welcome back
Ikumbuke hiyo post yako.... Muda si mrefu utajutia ulichosema.Unajaribu kufananisha uongo na ukweli.
Hapo kuondoka labda mmoja tu ambaye ni Bracket.
TusubiriIkumbuke hiyo post yako.... Muda si mrefu utajutia ulichosema.
Tusubiri tuone.Ikumbuke hiyo post yako.... Muda si mrefu utajutia ulichosema.