Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fedha ya Pogba ni nyingi sana sijui kwanini bei za kununua wachezaji zinazidi kupaa mwaka hadi mwaka.
Mkuu hizi TV money zilizoingia epl ndio zinafanya wachezaji kuuzwa ghali maana karibu kila timu saiz ya epl ina hela chafu, so zile timu za ligi zingine ndio zinafaidi tv money kupitia njia hii ya transfer.

Ukishangaa pogba na €120 mill, madrid wameambiwa watoe €115 mill kwa mchezaji wanaetaka awe wa akiba ( backup) Andres Gomez
Na juan matta naskia kakubaliwa na jose morinho kuwa ataendelea kuwa naye

Source efm
Yah mara ya kwanza walitaka atumike kwenye dili ya pogba wawape na hela
( mata +£80) ila juve walikataa, taarifa zilizopo ni kwamba kaambiwa apiganie namba.

BTW varela kaondoka kwa mkopo kwenda e. Frankfurt ujeruman
 
Garry neville ajae yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…