huyu mtoto mhindi mwekundu ana balaa kubwa,mi naona ni mzuri kuliko hata Berba kwani ana speed na ni munusaji mzuri wa magori,mtoto huyu angepata mawinga wa sampuli za akina Ronaldo au Becks,nisingekuwa nafikiria kwenda kwa babu wa Loliondo kupima presha Man U wakiwa uwanjani
BTW sina muda wa kuangalia mechi mbofu mbofu hivi niko Indian Wells na baadaye kidogo mambo ya Tavistock nyie mlie tu ... .... ... khe khe khe khe kheeeeee tutaangalia matokeo baadaye. Hongera for the rest of the season .. ... ... ..
khe khe khe kheeeeeeeeeeeee
huyu mtoto mhindi mwekundu ana balaa kubwa,mi naona ni mzuri kuliko hata Berba kwani ana speed na ni munusaji mzuri wa magori,mtoto huyu angepata mawinga wa sampuli za akina Ronaldo au Becks,nisingekuwa nafikiria kwenda kwa babu wa Loliondo kupima presha Man U wakiwa uwanjani
Yani Wacha1 ulitutosa, hata hongera?!! au huamini kuwa tumeshinda na kusonga mbele?!!
AW asante, pongezi zimefika, Chicha ni noumeer...nahisi anachukua nafasi ya Walcott kwangu sasa!!
Mfarisayo, thanx kwa mapicha...pia hongera kwa ushindi na fellow Manure fans!!
Hii mechi dakika za mwisho karibia nizime tv, maana pressure ilikuwa inapanda balaa.
kwa kweli hali ilikuwa mbaya yani wes brown haaminiki kabisaaaaa
April ni mwezi muhimu sana kwetu..
2nd – West Ham (A) – Jamaa wako kwenye form sana siku hizi plus uwa wanatusumbua sana especially kwenye mechi muhimu.
5th/6th – UCL QF (A/H) – ??? Naomba tucheze na Shalke.
9th – Fulham (H) –
12th/13th – UCL QF (H/A) – ???
16th – FA Cup Semi – Tunacheza na mahasimu wetu, mechi muhimu sana hii kuliko ata hiyo ya UEFA.
Yani Wacha1 ulitutosa, hata hongera?!! au huamini kuwa tumeshinda na kusonga mbele?!!
AW asante, pongezi zimefika, Chicha ni noumeer...nahisi anachukua nafasi ya Walcott kwangu sasa!!
Mfarisayo, thanx kwa mapicha...pia hongera kwa ushindi na fellow Manure fans!!
So we are a debt ridden club that can afford to bribe both the FA na UEFA? Interesting stuff kwa kweli.Subirini kipigo ndiyo sababu sikuangalia mechi mbofu mbofu.
Du!h ndio mpira wenu huo chacha chijui unashangaa nini? Lini mlicheza kabumbu ya kuangaliwa duniani kote, mnashindia bahasha tena kama unafahamu siri za OT ndio usiseme kabisa kubebwa kama kawa. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu usilalamike sana its not over until is over .... .... .... ... Aibu itakayowakumba mwaka huu mtajuta khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nasikia ulijificha hasa baada ya kuona mpira kama ule wa mchangani? Mambo bado tulia, njama za wanoko zinajulikana niliwapa pongezi hata kabla ya mechi kwa sababu matokeo yalikuwa yamepangwa tayari pale OT.
Michel Platini and his cronies hapendi timu za Ingerlund (England) zifanye vizuri kwenye UEFA, katika timu tatu zilizobaki basi lazima mbili zitakutana either kwenye 1/4 au 1/2 final ili zipunguzane.....dogo huwa namuonea huruma sana huyu. He's got potential hata ya kuchezea England, ila ana gundu la kufanya makosa makubwa! kama sio kujifunga, Red Card!...apart from that, he's such a nice block. Hana maskendeli ya kijinga.
...tupo bana, kila mtu na style yake ya kuomboleza kwa jinsi msiba ulivyompiga, hebu tuache! ha ha ha...
...shabaaaashh!
Sometime huwa najiuliza hawa UEFA lile kapu la bahati nasibu, lina 'abracadabra' English teams Vs Barcelona?
Nahisi jinamizi la kupangiwa Barcelona, Spurs au Chelsea linawanyemelea....!
Dont worry na Fulham, fmr Devil -Mark Hughes atawapa japo Draw.
I always ask why Madrid and Lyon, hawa jamaa wanawatesa sana mdrid
So we are a debt ridden club that can afford to bribe both the FA na UEFA? Interesting stuff kwa kweli.
Word is Sir Alex Ferguson kapewa 5-match touchline ban na fine ya £ 30,000 hii ina include semi final ya FA cup dhidi ya man citeh. Adhabu itaisha siku tunacheza na arsenal.
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ukweli unauma khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee karibu kwenye real world.
Hana shida huyu .... ..... .... ... rant boy ... ..... ...
khe khe khe kheeeeeeeee
Umeona ehh?, chachca apo chijui FA wanatubeba au brown envelope hazijafika kwa warithi wa kina Dein? khekheeee! chichi hatujali hilo, mwaka huu ni TREBLE no matter wat!
</p><b><font size="4"><font color="darkred">Kwa mpira mnaocheza hamna wasi wasi ni treble tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee</font></font></b>
<p></p>
<p> </p>
Usiwaze kijana....
Ndo u u mpira ambao umetufikisha last 8 ya CL, nusu fainali ya FA na kuwa kileleni EPL. Vp nyie?, wazee wa beautful game display?, msimu huu quadruple au sio?, khekhee kheeeeeeeeeee!
Hii mechi dakika za mwisho karibia nizime tv, maana pressure ilikuwa inapanda balaa.
- P8 W6 D0 L2
- He has been banned for 2 games in 2009, 2008, 2007 and 2003.
- With today's ruling, his fines total £75k.
- Games won: Everton, Portsmouth, Blackburn Rovers, Sunderland, Birmingham and Leeds.
- Games lost: v Fulham (1-3 in 2003) and at West Ham (1-2 in 2007)
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee its not me who said that!
Naona umeamua kutuletea Jens Lehman,Mlete nae apate doziKhe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee its not me who said that!
Kwa mpira mnaocheza hamna wasi wasi ni treble tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee