Mkuu hiyo avatar yako na ulicho andika hapa ni tofauti ni MAJI na MAFUTA ya TAA.......Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
Aisehhhh achana na huyu kijana halafu kamuweka mkuu wa STATE then anaongea shuduHuu utani wa ngumi jiangalie !!!!.....
Hivi tumesusana kiasi hichi hata kunitembelea nyumbani kahhh[emoji35]Huu utani wa ngumi jiangalie !!!!.....
Itakua Men United na sio Man UnitedMchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] usinikasirikie hivyooo wangu,Magu kanibana kila kona aiseee,ligi ikianza utaniona sana tu ,nitakuwa nakuja tutazame mechi wote.Hivi tumesusana kiasi hichi hata kunitembelea nyumbani kahhh[emoji35]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena msimu huu ni kushinda kila match maana sio kwa usajili huu pogba huyooo tunampokea tunasubiri kibali cha juve tu, kwa hiyo ni msimu mzuri tukiwa tunaangalia match wote kwa kuwa hakuna kununa ni shangwe mbele kwa mbele[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123][emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] usinikasirikie hivyooo wangu,Magu kanibana kila kona aiseee,ligi ikianza utaniona sana tu ,nitakuwa nakuja tutazame mechi wote.
Duh!lugha ya jahazi hii!atakuwa amekuelewaItakua Men United na sio Man United
Mwaka wa pili sasa Manchester na madrid mnatunishiana misuli, ilianza kwa de gea saizi mpo kwa pogba.
I WAS ALIVE WHEN WOODY FED PEREZ TO THE DOGS TWO YEARS IN A ROW.
Gem ya leo steering ronado asee
Unazi.comNa kila cku nitaendelea kusema cr 7 ni zaid ya mess
Ukweli.comUnazi.com
NdioHivi ni kweli Man u wananunua galasa kwa pauni mil. 100