Chifu, umemaliza kila kitu...umeitendea haki avatar yako, kwa kuzungumza kwa busara kubwa.Tatizo lako wewe unapenda ligi badala ya mjadala.Ukijua maana ya mjadala kwa maana ya kuelewa mambo utajifunza mambo mengi sana si sports hata uchumi,biashara,siasa.........Lipo tatizo hasa vijana wengi wanafikiri habari za Edo Kumwembe ndio habari za kinaa za michezo katika anga la kimataifa,au ukisoma Champion,Mwanaspoti basi umemaliza kila kitu hakika hakuna magazet ya hovyo kama hayo habari zao nyingi wanazichomoa majarida ya ulaya "Gossip" .Ukiwa na access ya internet sidhani kama ni busara kusoma magazeti ya aina hiyo.
Ukisoma habari ya Edo baada ya Man United kufungwa unaweza kuiweka kapu moja na maneno aliyokuwa akisema Mchg Mtikila katika uwanja wa siasa.Vimaneno au misemo ya uswazi isikutishe wala usione aibu kutamka mimi mnazi wa Man kisa misemo ya mitaani tena mara nyingi haina maana sana.
Kabla ya kuijua geogle nilkuwa namwamini sana Dr liki abdala na nikiona ni moja ya wachambuz makini sana kumbe bingwa wa kukopi na kupestChifu, umemaliza kila kitu...umeitendea haki avatar yako, kwa kuzungumza kwa busara kubwa.
Vijana wanakuwa wavivu na kutegemea kupewa habari za 'kiuchambuzi' na akina Edo, Saleh Ally, Shafii n.k. wakati wana access na internet, inayoweza kuwapa habari zote za uhakika na ukweli. Mtu nimemwambia alete vyanzo vinavyoonyesha kwamba wachezaji hao anaosema wameikataa United walikuwa kwenye mazungumzo rasmi na timu, kakimbia.
Tusichoke kuwapa elimu na busara hawa vijana.
Tatizo lako wewe unapenda ligi badala ya mjadala.Ukijua maana ya mjadala kwa maana ya kuelewa mambo utajifunza mambo mengi sana si sports hata uchumi,biashara,siasa.........Lipo tatizo hasa vijana wengi wanafikiri habari za Edo Kumwembe ndio habari za kinaa za michezo katika anga la kimataifa,au ukisoma Champion,Mwanaspoti basi umemaliza kila kitu hakika hakuna magazet ya hovyo kama hayo habari zao nyingi wanazichomoa majarida ya ulaya "Gossip" .Ukiwa na access ya internet sidhani kama ni busara kusoma magazeti ya aina hiyo.
Ukisoma habari ya Edo baada ya Man United kufungwa unaweza kuiweka kapu moja na maneno aliyokuwa akisema Mchg Mtikila katika uwanja wa siasa.Vimaneno au misemo ya uswazi isikutishe wala usione aibu kutamka mimi mnazi wa Man kisa misemo ya mitaani tena mara nyingi haina maana sana.
Umeongea ki sports mkuu
Kipindi kile time iliruhusu alo kuwa kwenye ubora hasa gasa alikuwa liva peke ake, there were no many giants kama sasa, wakat hauruhusu kulea mtu kama LVG nowUnajua kuna watu wanashangaza sana hawajui 1989/1990 Sir Alex alikuwa katika hatihati ya kufukuzwa hasa baada ya uamuzi wake wa kuwuza wachezaji nyota wa wakati huo Norman Whiteside,Paul McGrath & Gordon Strachan na timu kufanya vibaya sana.
Mkuu inshu sio lvg inshu ni kuwa SAF aliiacha tm ikiwa kwenye hali gani?Tujiunge pamoja tuwafukuze Wenger na LVG. Itakuwaje timu kongwe kama yenu ikose mshiko wa UCL kwa mara 2 ndani ya miaka 4? Sisi tunazidi kusindikiza Premier League na UCL. Afadhali mna matumaini ya kuondoka na FA cup baada ya zaidi miaka 10 na ushee lol.
#LVGOUT, #WENGEROUT
sijui hiyo ligi nimeanzisha wapi? unaweza ukanionyesha wap nlipoweka hiyo ligi? nilitupia coment yangu nkasema kwa sasa man utd inakataliwa kwa kuwa kocha haelewek sasa ligi iko wap? kwani ni uongo hawakatai? ndo mana nkasema mm naacha mala ooo utoto mala oooo 2000's yote hayo yanatoka kwenu hivi mtu akisema siendelei maana yake nn? mala edo mala mwanaspot jaman dharau mbaya nyie mnajua bana.
Hawajui hawa vijana 2000+ mkuuUnajua kuna watu wanashangaza sana hawajui 1989/1990 Sir Alex alikuwa katika hatihati ya kufukuzwa hasa baada ya uamuzi wake wa kuwuza wachezaji nyota wa wakati huo Norman Whiteside,Paul McGrath & Gordon Strachan na timu kufanya vibaya sana.
Sawa ndio maana nikakwambia wapo wachezi wakali wa kiwngo cha walio wahi kuikataa Man kipindi cha Sir Alex si leo au jana wachezaji wako influenced na mambo mengi mfano wachezaji wa South America,Ureno au Spain wanapenda sana kucheza Spain either Real au Barcelona hilo lipo wazi.Wakati Ronaldo anatoka Man kwenda Real tulikuwa katika ubora mkubwa sana tulichukua ECL tulishafika final mara mbili na nk nk.So utaona Suarez akiwa Liverpool aliposikia offer za Spain akili yote ilikwenda Barcelona ikabidi auzwe tu hapakuwa na njia nyingine ya kumzuia.
Mifano hiyo kiduchu niliyokupatia inaonyesha wazi kuna vitu vingi na si sababu za kina Edo au magazeti ya udaku ya michezo Tanzania ambayo mengi ni copy & paste full stop.
Wakat anakabidhiwa pep Tim ilikuwa kweny hali gani?unaweza fananisha na wakati anakabidhiwa Moyes tm?na je anapokabidhi pepe tm iko hali gani?Tatizo kubwa lilo kwenye timu yetu inaendeshwa kizamani, wakurugenzo wenyewe ndo kina Sir Boby Charlton (namuheshim sana) they cant go with time
Tatizo halikuwa timu aliyo acha fergie tatizo lilikuwa namna ya kufanya transition, Sir Alex kimchagua mrithi Moyes ndo ilipo kuwa kituko, kwanini hakutafutwa kocha mzuri, Jifunzen kwa Bayern wao ana toka pep ana ingia Ancellot na hyo ndo na mna ya kufanya transition
mna sema LVG ana jenga tim mkataba wake una isha mwakan na haend mbele tim inakuwa mbov daily ana mjengea hyo timu nan!!!
SAF alishaelezea juu ya uchaguzi wa Moyes. DM hakuwa chaguo la kwanza. Moyes alikuwa chaguo la sita. Ilikuwa baada ya potential successors wote kuwa impossible kuwavuta kwenda OT. Kwanza SAF alimtaka Pep, lakini Pep alikataa na kwenda Bayern. Mourinho naye alikuwa keshakubali kurudi Rent Boys, huku Ancelotti akimrithi R. Madrid. Klopp alionyesha dhahiri alikuwa hana nia ya kuondoka; na LvG alikuwa kesaini na timu ya taifa ya Uholanzi.Tatizo halikuwa timu aliyo acha fergie tatizo lilikuwa namna ya kufanya transition, Sir Alex kimchagua mrithi Moyes ndo ilipo kuwa kituko, kwanini hakutafutwa kocha mzuri, Jifunzen kwa Bayern wao ana toka pep ana ingia Ancellot na hyo ndo na mna ya kufanya transition
Ttzo siyo hali, kwani Moyes alikabidhiawa watu walokuwa mabingwa wa EPL kwa tofaut ya points 11Wakat anakabidhiwa pep Tim ilikuwa kweny hali gani?unaweza fananisha na wakati anakabidhiwa Moyes tm?na je anapokabidhi pepe tm iko hali gani?
Pep alisha kuwa kasain na bayern by the time sir Alex ana staafu angemrithije, mi cjuiSAF alishaelezea juu ya uchaguzi wa Moyes. DM hakuwa chaguo la kwanza. Moyes alikuwa chaguo la sita. Ilikuwa baada ya potential successors wote kuwa impossible kuwavuta kwenda OT. Kwanza SAF alimtaka Pep, lakini Pep alikataa na kwenda Bayern. Mourinho naye alikuwa keshakubali kurudi Rent Boys, huku Ancelotti akimrithi R. Madrid. Klopp alionyesha dhahiri alikuwa hana nia ya kuondoka; na LvG alikuwa kesaini na timu ya taifa ya Uholanzi.
Chanzo: Man Utd wanted Pep Guardiola and not David Moyes to succeed Alex Ferguson- but the Spaniard snubbed them
NB: jambo jingine la kulitazama hapa ni kwamba hizo timu zote hazikuwa na makocha waliokaa na timu kwa miaka 20+. Hivyo transitions haziwezi kufanana na timu ambayo ilikuwa na kocha mmoja kwa miaka 26. Pengine labda unipe mfano wa timu ambayo imewahi kuwa na kocha mmoja kwa miaka 20+, kisha akaondoka na timu ikaendelea vizuri instantly bila ku-struggle.
Doh! Braza umesoma hiyo link niliyoiweka? Maana unabishana na maneno ya SAF mwenyewe! Soma basi hiyo link, halafu urudi tena kuandika ulichokiandika.Pep alisha kuwa kasain na bayern by the time sir Alex ana staafu angemrithije, mi cjui
Wakati Sir Alex anaondoka Mourinho alikuwa bado haja sign na Chelsea
Na ukumbuke Sir Alex alimpenda bwana daudi Moyo (David Moyes) toka kitambo ,aliwah kumuomba ad awe kocha msaidiz, it was clearly his decision to appoint Mr Moyo, na ali m ignore Mourinho
#lvgout
Mtandao kwangu una sumbua lakin hapa nnacho kutab chakeDoh! Braza umesoma hiyo link niliyoiweka? Maana unabishana na maneno ya SAF mwenyewe! Soma basi hiyo link, halafu urudi tena kuandika ulichokiandika.