Ndio inavyotakiwa
Ndio maana sikai sana huku
.....................................................
Ukweli mchungu
Hatuna timu
Hata FA Cup haiaminiki
Hii ndo Mansheeder Ubwegeted
......................................................
Ndugu zanguni poleni sana!Lkn ndiyo soka mwakani mtajipanga mtakuja vingine!Njooni Anfield kuona Champion League football! everlenk ndiyo soka dada,nguvu ni kitu cha kwisha
Kabla ya hii match, ushindi wa mwisho kwa the hammers dhidi ya UTD katika ligi ilikuwa ni katika msimu wa 2007/8 round 20 (2-1). Tutazigundua nyingi tu