So far so bad, two matches to go man u tumefunga magoli 44 kati ya mechi 36 tulizocheza hadi sasa, ( amazing) goli tisa tu mbele ya Norwich anaekomaa kutoshuka daraja, msimu wa 2011/12 tulifunga magoli 89 inamaana msimu huu tumefunga nusu,
Toka nimeanza kuipenda Manchester nakumbuka msimu wa 2004/05 ndio msimu ambao tulikua na goli chache sana goli 58, japokua history inaonesha msimu wa 1989/90 tulikua na goli 46 tulimaliza wa 13, mwaka 1988/89 goli 45 tulimaliza wa 11, msimu uliopita tulikua na goli 62.
Game saba tumecheza nyumbani bila goli ( Newcastle, shittty, west ham, Chelsea, soton, PSV, Middles borough)
Game sita za away bila goli ( arsenal, palace, stoke, WBA, spurs, looserfool) jumla utaona tumecheza mechi 13 bila kupata goli lolote, huku tukiwa na namba ndogo sana ya shoot on target ( Ngongo huu ndio mpira wa kushambulia, attacking football unayoitaka?)
Tunaongoza kuwa na clean sheets nyingi kwenye ile top eight si kwa sababu tunadefence nzuri bali ni sababu ya uwepo wa de gea langoni,
AU hii inakuaje? Tunagoli chache na clean sheets nyingi au hii sio defensive football?
Kuna sehemu nilikua nacheki ni timu moja tu toka serie A, EPL na la liga ambayo ilimaliza ndani ya top six ikiwa na goli chini ya 50 ( Villarreal msimu uliopita) ndani ya miaka mitano iliyopita.
Toka primier league ikaanza timu zilizomaliza ndani ya top six na goli pungufu ya 50 ni
Betis '95,
Arsenal '96
Aston Villa '97
West Ham na Mallorca 99
Aston Villa na Alavés '00
Betis in '02, Celta Vigo in '03
Aston Villa, Sampdoria na Palermo '04
Everton, Bolton, Livorno* na Sevilla '05
Celta Vigo na Osasuna 06
Villareal '07
Racing Santander '08
Sampdoria '10
Villareal '15
Sasa ukiangalia kwenye orodha hiyo ukiachana na arsenal ya Bruce, hizi timu zingine zote ni average timu ambazo zilikamua above their weight, and that is the level we've dropped to.
Still watu wanamkataa mou kwamba hana attacking football, is this an attacking football tunayoitaka?
Ngongo
Mkuu labda tuzungumzie kuhusu kuwatoa wachezaji kwenye payroll, lakini suala la transfer market tupo hovyo sana, tunanunua wachezaji kwa bei mbaya na kuwauza kwa hela ya nyanya,Mkuu herrera kwanza ni lazima ufahamu kipa ni sehemu ya wachezaji so David de Gea ni mchezaji wa Man Utd.Pili unatakiwa ukubali mchango wa Van Gaal wa kumbakiza de Gea kikosi wakati Real walipokuwa wanamyemelea kwa kasi ya ajabu.Pili fahamu ni Van aliyecheza karata ya kumsignisha mkataba mrefu ambao kama Real watamtaka itabidi wavunje kibubu.
So far Man imebakiza mechi mbili ambazo tukishinda zote tuna uhakika na nafasi ya nne (it's within our reach) na usisahau FA Cup tuna nafasi kubwa pia.
Nakubaliana na wewe msimu huu tumefunga goli chahche sana,lakini tunasahau msimu uliopita mashabiki wengi walikuwa wakipiga kelele Rooney aongoze safu ya ushambuliaji bahati mbaya kiwango chake msimu huu kilitetereka sana na pai kuumia hilo si kosa la kocha bali hiyo ni sehemu ya mpira wakati mwingine unawaza hivi matokeo yanakuwa tofauti.
Tukubaliane majeruhi wengi walichangia timu kutetereka sana,bahati mbaya hilo halisemwi sana hasa na vyombo vya habari vya UK ambao ajenda yao kubwa ilikuwa ni ku attack mikakati yote ya Van Gaal.Mfano vyombo vingi vya habari vya UK vimekuwa mstari wa mbele kumponda Van Gaal katumia 250 million lakini havisemi kauza wachezaji wangapi ?.Ni kwanini hawasemi 250 less wachezaji aliwauza na wengine waliondolewa kwenye payroll ?Fedha kiasi gani zilipatika kwa mauzo ya Di Maria,Fletcher,Chicharito,Rafael,Nani,Kagawa,Evans,Welbeck & Cleverley.
Mashabiki wa Mourinho wanasahau mafanikio yote aliyopata Chelsea yalitengenezwa na Ranieri ambaye kaonyesha kipaji cha hali ya juu kwa kuchukua ubingwa kwa bajeti ndogo sana.Nauliza Mourinho alipokuwa Spain alitawala ligi ya kule alichukua vikombe mara ngapi ?.
Mkuu labda tuzungumzie kuhusu kuwatoa wachezaji kwenye payroll, lakini suala la transfer market tupo hovyo sana, tunanunua wachezaji kwa bei mbaya na kuwauza kwa hela ya nyanya,
Tumetumia £250+ mill ila tuliowauza haizidi £35 mill
Nani 4 mill
Rvp 3.85
Rafael 2.10
Cleverly free
Fletcher free n.k hizo ndio bei tunazouzia,
Kuhusu mou kwamba mafanikio aliyoyapata Chelsea timu ilijengwa na ranier it might be true, but vipi kuhusu timu zingine anazofundisha?
Katika misimu mitatu ya Madrid, Madrid ya mou iliongoza kwa magoli dhidi ya barca kwa misimu miwili mfululizo, msimu wake wa kwanza alipigwa tano na barca nou camp, alipoteza nusu final, ila alichukua CDR mbele ya barca,
Msimu wa pili walichukua la liga ila walipoteza CDR, wakati wanachukua la liga waliweka record ya kuchukua ubingwa kwa point nyingi, hata Chelsea yake ilifanya hivo. Chelsea msimu uliopita iliitandika Swansea goli tano, sina kumbukumbu kama kuna mechi timu ya van gaal ilimpiga mtu hizo goli.
Mou kachukua ubingwa Mara 8, katika vilabu na nchi 4 tofauti ndani ya miaka 13 iliyopita, unaikumbuka inter yake iliyochukua treble? Kwenye CL iliitandika barca ya pep, ikaitandika na bayern, ana champions league 2 na dozen ya makombe mengine ya mbuzi, kuharibu kwa mou miezi sita sidhani kama ni guarantee ya kusahau CV yake Mkuu.
Hahahaaaaa dah, nilimsahau chief, ila ujue tulikula hasara napo
Kwa sasa usi-aim too higher...hii team haitatengamaa kwa siku moja au.mbili...I have my motto "Tutafika tu"......."bado mechi mbili UCL tutafika tu"........ahhhhhhh hiii misimu mitatu cha moto tumekiona!!!......Eee tunashukuru kwa yote tunasonga mbele.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Van Gaal mwenyewe yupo kwenye wakati mgumu maana tusipoingia UCL anakatwa karibu nusu ya mshahara,tukipata FA cup at least itamuongezea ahueni.
Yote juu ya yote ni kocha mzuri sana but yupo kikayumba sana wakati siku hizi ni mambo ya saint May[emoji23] [emoji23] . Mimi kwangu I prefer mostly magoli na makombe kwa sana tu, siku hizi unatizama mechi huku uko chini ya uvungu na live goal score Yako ukiona goal ndo unaibuka na makelele kibao[emoji24]
Sijui aje nani ila tunahitaji kocha mwingine mzuri zaidi yake kocha wa kisaint May zaidi .
Tutafika hivyo hivyo mdogo mdogo tunalisongesha......Kwa sasa usi-aim too higher...hii team haitatengamaa kwa siku moja au.mbili...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtani acha tu yaani kuangalia live match ni kujitakia pressure unaweza Pasua bure Tv, na Usawa huu wa Magu balaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka sana asee....Eti unasema? uko uvunguni na Livescore? [emoji13]
sie tunasajiligi kwa tetesi tushazoeaTushamkosa Renato Sanchez kishatua bayern munich
sie tunasajiligi kwa tetesi tushazoea
Chamsingi ni ushindi. Hata ballpassion ikiwa 0%
Ukitoa FA Cup final, kwa msimu huu hii ndio mechi muhimu sana kwetu. Natumaini tutashinda.
Sasa braza, baada ya misimu hiyo mitatu, what next? Kama unataka kusema kwamba baada ya misimu mitatu timu itakaa imara (baada ya kushinda makombe chini ya mpiga domo), una uhakika gani na hilo? Kwanini timu isitafute mchezaji anayeweza kukaa na timu kwa muda mrefu na kujenga filosofia yake?Timu ya sasa ya United inamtaka kocha kama Mou angalau kwa misimu mitatu.
BACK TANGANYIKA