Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona leo monkey united mmekaza utadhani msimu bado sana kuisha. Hongereni kwa pointi 1 si haba .... naona hadi legend wenu alikuwepo jukwaani kuwaangali leo

Ujinga huu,

Huu utani wa Manara na Muro waachieni hao na ubaki hapa hapa bongo (kwenye ligi yetu) Umekosa la kuchangia mpaka uite timu ya watu Monkey...!!! Ustaarabu ni kitu cha bure na hauna gaharama yoyote..!! Mbona ninyi hatukutukaneni, unautoa wapu ujinga huu???

Hatukatai utani ila Matusi hayaruhusiwi.

BACK TANGANYIKA
 
Acha kupaniki mkuu kwa vitu visivyo vya msingi 'monkey' ni tusi? .... I AM SORRY kama nimekuudhi. ......
 
Punguzeni wivu + dharau
kwani Man utd tulifika wapi UCL ?
Hamna ht aibu !!!!!!!
Kwa hiyo braza unataka kusikia watu wakisema Leicester City watashinda UCL nini? Kwani hakuna uwezekano (ukizingatia matokeo ya soka) wa Leicester kutoka kapa kama tunavyosema? Kama kuna uwezekano kwanini useme wivu + dharau?
 
Kwa hiyo braza unataka kusikia watu wakisema Leicester City watashinda UCL nini? Kwani hakuna uwezekano (ukizingatia matokeo ya soka) wa Leicester kutoka kapa kama tunavyosema? Kama kuna uwezekano kwanini useme wivu + dharau?
Mmeanza dua mbaya ...Mimi ni Man utd damu ...."oooooh Leicester watatoka kapa grup stage UCL" utabiri wa wapi huu? Oooooh watatia aibu
Hayaa ni maneno ya wakosaji
Tujadili chama letu litafika Top 4 ?
 
Morgan alinikeraaa. Match ilikuwa inavutia.
Acha Chelsea ashinde kesho dhidi ya Spurs ili Leceister watwae kombe, great job!!
 


Happy birthday to United legend David Beckham!
"Milan, Madrid, Paris, I've played
everywhere. But nothing beats walking out for Manchester United" -David Beckham.

Happy Birthday to one of the greatest sporting icon, the Becky

394 apps
85 gls
6 PL titles
2 FA Cups
2 C.Shields
1 Intercontinental cup
1 UCL
1 fergie boot
Always a red.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…