</p>asante kunikumbusha na nimekupa thanks kwa hilo......we hulali? natafuta mfiwa mmoja.....!!!
Arsenal will never ever be the champion mark my words!
<p></p>
<p> </p>
Mfiwa mwenywe ndo mm apa...aya twenzetu mama.
Najua sana kwamba wamebadirika mkuu, lakini bado tutawafunga kutoka na style yetu ya kucheza huwa wanapata shida sana.
Arsenal will never ever be the champion make my words!
"Football is not as predictable or scientific as some people think and sometimes people are wrong on what they say".Arsene Wenger a.k.a "The proffesor"
Haya wakuu make Rev bandia Masanilo his words! Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tutakubali kufungwa na nyie ili tusikubali Monkey United wavunje rekodi yetu na sio zaidi ya hivyo mkuu.............
ha ha ha mkuu hii kauli katoka kuniambia mshabiki mwenzako wa liverpool baada ya game yenu leo lol.
Hata mngekuwa nyie mngefanya the same......................... we are back for real ila tumechelewa ndio maana inabidi tuwapeni point tatu kwenye golden plate ili jamaa wasivunje rekodi yetu!
Dogo utapata makonzi muda si mrefu ukashitaki kwa kiranja mkuu.
Kwa Arsenal labda mjifunge wenyewe othewise hawawezi kuwafungaHata mngekuwa nyie mngefanya the same......................... we are back for real ila tumechelewa ndio maana inabidi tuwapeni point tatu kwenye golden plate ili jamaa wasivunje rekodi yetu!
Kwa Arsenal labda mjifunge wenyewe othewise hawawezi kuwafunga
Katika mechi zilizobakia atakaechukua ubingwa ni yule atakayebahatika kupangiwa marefaa wazuri,Msimu huu naona ni marefarii ndo wataamua mshindi.
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi wa leo. Tuendelee kuzibua vizibo.
Tumeona mchezo wa vijana wapya, Pique na Simpson.
Kanyaga twende.