Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,303
Ilibidi usisitize senkyuu rashfodi.Thanks You Rashford
Sina neno mimi. Nawait final tuMkuu ahadi yangu ni pale pale crown yetu hii
Mi naona apewe Diego Simeoni if possible.timu apewe RYAN GIGGS maoni yangu
Alituokoa sana jana.......De gea
Asante sana mkuu barikiwa,haka ka kombe kanatuhusu.Man u 11, Arsenal 12
Senkyuuuu RashifodiiiiIlibidi usisitize senkyuu rashfodi.
Ila hatujakufikia aiseee.....vipi Leo niko available sana tu nije kushinda kwenu?Wakuu siku hizi mko-desperate na timu yenu kabisa naona mmepenya. Hongereni
Swadakta hapo imekaa vizuri.Senkyuuuu Rashifodiiii
Tena sana . tusipo kabeba sita muelewa Lvg kabisa .Asante sana mkuu barikiwa,haka ka kombe kanatuhusu.
Yaani na mimi sitamuelewa kabisaaa.....Tena sana . tusipo kabeba sita muelewa Lvg kabisa .
Hahaha karibu tu bila Shida maana Th Name kahamia yeye ndiyo mbadili channel utadhani hayupo ugenini. ...... sisi tuna uhakika na tukifanyachoIla hatujakufikia aiseee.....vipi Leo niko available sana tu nije kushinda kwenu?
Kila kitu utakikuta kwetu mgeni ni malkia [emoji41] [emoji41] kikubwa usichelewe tuHaya weka popcorn na Ile Wine Ile niipendayo taratibuuuuu nawaangalia Reds wenzangu.