Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Its nice visiting this forum for now SUAREEEEEEEEEZZZZZZ
 
Spurs tushawapoteza wale, wanashinda na chelsea kugombea nafasi ya champions league.
hehehe hapa patamu washabiki wa man utd wanataka citeh asiingie kwenye top four so tunawasupport spurs, washabiki wa arsenal wanataka citeh... Alafu this could pose a threat kwenu kwa sababu you still have to play spurs kwao sasa kama wako desperate itakuwa mzozo.
 

sina wasi wasi na mechi zijazo kwa vile majeruhi wangu wengi watakuwa wamerudi. Ndio maana nilisema mechi ya jana ilikuwa kubwa sana kwangu, ningepata point 3 jana nilikuwa tayari kutangaza ubingwa mkuu.
 
Kwahio mechi ya FA ATLEAST Clichy hatosumbuliwa na NANI.


Man United bila NANI inawezekana?
watu wanadai nani kafake injury ili kukwepa hairdryer..sijaziona updates za injury ya nani. Mie nawamiss wachezaji wengi (anderson, park, valencia, rio na sasa nani).
 
watu wanadai nani kafake injury ili kukwepa hairdryer..sijaziona updates za injury ya nani. Mie nawamiss wachezaji wengi (anderson, park, valencia, rio na sasa nani).

lol . Kombe liko wide open sasa. mwaka huu simchezo.
 
[FONT=impact!important]Furgie imposes blanket ban[/FONT]





NOT IMPRESSED ... Alex Ferguson





Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Reds to assess Nani injury

United will assess Nani at Carrington on Monday morning following his injury in the Reds' 3-1 defeat at Anfield.
A club spokeswoman confirmed on Sunday afternoon that the Portuguese winger suffered a "very deep gash" in his ft leg after Jamie Carragher's challenge shortly before half-time. The Liverpool defender was booked by referee Phil Dowd and Nani played no further part in the match. He was carried off the field on a stretcher and replaced by substitute Javier Hernandez who later scored United's only goal with a header in injury time.
While fans will naturally be worried about Nani - one of United's best players of the season so far - there was some encouraging news in that his fellow winger Antonio Valencia was part of the Reds' travelling party for the Liverpool game.
The Ecuadorian was not named among the seven substitutes by Sir Alex Ferguson but his presence at Anfield, combined with his recent return to full-contact training, suggests a comeback may be close.
 

Yamekuwa haya tena mbona wengine ndio tunaamka huku Alaska ni bado jua kali tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee



Wacha ulongo nani hakuumia kitu khe khe khe kheeee msianze visingizio khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee Manda mpira wa leo vipi ulikuwa na hamu sana ya mimi kuwa jukwaani lakini naona ulikuwa unanipiga chenga za mwili tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mwambie yule Coward Peasant zamu yake kesho khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Poleni sana watani wangu maana naona mshaanza kuzoea kichapo na hasira za wachezaji ziko very evident.Anyway mtazoea tu maana another one is coming pretty soon...kwa roho safi!...:wink2:








 


Jamaa na mpira wake huyooo
 

Attachments

  • r500.jpg
    38.8 KB · Views: 97




Pensioners wakipanguliwa ni too much kwao hii duh uzee bana. Yale yaleee ya Stam na Raul
 

Attachments

  • 2_4d739c067ad16820642546.jpg
    40.4 KB · Views: 57
  • 1_4d739bff3c576975017070.jpg
    36.4 KB · Views: 58
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…