Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu wa Arsenal nadhani tutakuwa pamoja kwenye jukwaa lenu hapo jumanne nadhani sio mbali sana.....so tutapeana habari zaidi......ila tuwe wote tusiingie mitini.....
 
Hahaha nimecheka sana mkuu na huu ushauri uliompa jamaa....ajifanye hajui chochote au sio???duu ndio hivyo inabidi kukubali matokeo.....
 
sasa hapa Chelsea watawapiga tena...koz so far mpo Unstable......Then tukikutana tunakata Funua na Ubingwa juu....Arsenal mwaka huu wetu........
 
Mkuu MBU utanikuta kwenye jukwaa lako jumanne nitakupa kampani nadhani hizo I wish, I wish hiyo siku zitakuwepo tu huko.....
 
sasa hapa Chelsea watawapiga tena...koz so far mpo Unstable......Then tukikutana tunakata Funua na Ubingwa juu....Arsenal mwaka huu wetu........

Jipeni moyo tu wakuu inaweza ikawa hivyo....ila ni impossible kwenu......
 
well i must admit, it's quite a frustrating game ever by #ManUtd but whatever it is we are still on top. GGMU
 
Ndo tunatangaza ratiba ya msiba,kwamba maturubahi na vifaa vya matanga vitachukuliwa rasmi J4..........kwahiyo tutaomboleza hadi J3.

...Be our guest J'4, ha ha ha!

taratiibu nimepokea kilo mbili hapa........kama kawaida na jamaa ametangaza leo iwe mwisho wa kuwekeana pesa hivi...mara tatu zote mi nashinda.....

...hongera sana maazeeee! Kibajaji kimekamilika na vitairi vyake vitatu kama ulivyosema, ha ha ha!

Unavyoadmit Mauchungu uliyonayo mpk nakuonea Huruma......Pole sana ndg yangu ndo soka hili.......

...umeona ee? ha ha ha, EQLYPZ be strong man, the title is still withing your grasps...mkitaka of course.

Wakuu wa Arsenal nadhani tutakuwa pamoja kwenye jukwaa lenu hapo jumanne nadhani sio mbali sana.....so tutapeana habari zaidi......ila tuwe wote tusiingie mitini.....

...kama kawaida, ARSENAL TOGETHER WE STAND,....be our guest.
BTW, bahati mbaya sana Puyol na Picque hawatacheza, ...inanikumbusha pengo la RIO na VIDIC.
Mpira duara bana...!

Ngoja nikawape hongera Liverpool kwenye jukwaa lao. Tumeongeza hits za kutosha kwenye jukwaa lenu leo, maana hamuishi kelele oooh, hatuchangii majukwaa mengine.

Nilikuwapo.

~Mbu~
 
Wakuu wa Arsenal nadhani tutakuwa pamoja kwenye jukwaa lenu hapo jumanne nadhani sio mbali sana.....so tutapeana habari zaidi......ila tuwe wote tusiingie mitini.....

usitutumie sisi Gooners kama Ngoswe.......Watu wa kukacha baada ya kupata matokeo ambayo hawajayatarajia ni The BLUZZ....sie wavumilivu wa shida na raha...na mara zote huwa tupo....so dont worry just b there n u will find us there....
 
Hamna shaka kabisa mkuu....tupo sote na mimi nitakuwa mgeni huko.....
 
Dirk Kuyt destroys MONKEY URINE-TED

A great afternoon for Liverpool and another wretched one for United. A simple hat-trick for Kuyt, a spot of handbags in the middle, and a late consolation for Hernandez. United suffer back-to-back Premier League defeats for the first time in two years and the title race is officially ON.
 
Hamna tatizo mkuu na tupo sote broda
 
well i must admit, it's quite a frustrating game ever by #ManUtd but whatever it is we are still on top. GGMU

Oh Yer kwa sababu mmecheza mechi moja zaidi ya Arsenal khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
ila hii wiki ilikuwa hectic i am glad it is behind us, maana tulikuwa na 4 away games 2 of those na formidable opponents. Saddest part ya kufungwa leo ni kuwa liverpool sio title contenders na probably hawatacheza champions league for another season.
 
asalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam aleykuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuum wakuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wa JUKWA HILI,.

Poleni sana kwa misiba mfululizo. Siwezi kuongea sana kutukana na matokeo yangu ya jana. Nimebaki nikisema watoto wa Wenger sasa wasaidiwe vipi.
 
FLYING DUTCHMAN ... Dirk Kuyt celebrates

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
leo kunaweza kukawa na misiba miwili maana naona spurs wako nyuma dakika ya 23 inakwenda.
 
Clash of the Giants! Sio rahisi Liver kuwaachia mchukue ubingwa wa 19 kirahisi na kuweka new record. Poleni sana!
 
Three and easy: Dirk Kuyt celebrates after completing his hat-trick

Double trouble for United: Kuyt puts Liverpool 2-0 up

Perfect start: Dirk Kuyt scores his first goal at Anfield

Flashpoint: Nani and Gerrard clashed at Anfield

So you're back here, are you: Sir Alex Ferguson greets Kenny Dalglish before the game
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee bado tunachubiri mechi lukuki leo na kesho weye mwaya mbona unawahara sana Vijana wa Emirates? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
I just can say that today was a good day... Thanks scums kwa kupanua hawa manure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…