#TheFutureIsBright #BelieveMan U Leo imecheza vizuri tatizo Lao lipo kwenye real winger zao za gombania goli hakuna siku hizi, wanahitaji wale winger WA kweli Martial akawa number 9. Fellaini nafikiri Na uhuni wake ndio best player Wao WA game mbili hizi.
Hongera sana#YNWA
Vipi chifu habari za masiku? Pole na majukumu aisee!!!!!Majukumu ila leo niko hapa nimejaa tele
Mnapita hii game mzee
#BELIEVE
Unavyoandika kwa "UCHUNGU" kweli defeat sio mchezo ila hakuna namnaVipi chifu habari za masiku? Pole na majukumu aisee!!!!!
Naona siku hizi umetingwa sana unashindwa hata kufuatilia mambo, ngoja nikuambie kidgo kinachoendelea duniani,
1. Man u tumetolewa europa na wale wazee ( no excuses we are shit)
2. Mr bean ameweka record ya kuwa kocha aliefungwa mechi nyingi kwenye uefa kuliko kocha mwingine yyte( Le Prof)
3. Leicester wanaongoza ligi kwa tofauti ya point nane ( ila mr bean na vijana wake akiwemo kashengo na Mcdonaldy wanaona wao ndio wana nafasi kubwa ya kubeba kuliko Leicester wet dream)
4. Mr bean katolewa uefa hatua ya 16 bora kwa Mara sita mfululizo,( kuna haja gani ya kuwa na mwanamke mzuri asiyekupa huduma)
5. Katika mechi nane zilizopita, mr bean na vijana wake wameshinda moja na kudroo mbili tu, ()
6. New champion ( assnail) alitandikwa na vijana wa secondary akina rashford na varela 3-2, () na hapo ndipo wale Wenger out brigades walipoibuka, WAMESAHAU KWAMBA LE PROF YUPO ANATENGENEZA UWANJA
7. Rubboy & barafu ni baadhi ya mashabiki wa washika ukuta wa London waliojitokeza hadharani kuacha kushabakia asanail hadi le prof atakapo ondoka, swali ni je, kama prof kashindwa nani ataweza? ( mbombo ngafu)
8. Le prof kapigwa nyumbani Mara tatu mfululizo ( hii ni kwa Mara ya kwanza tangu Nov 2002)
9. Kwa Mara ya kwanza le prof kafungwa kwenye FA cup na timu iliyoligi kuu toka mwaka 1997 ( record breaker)
10. Kuna msemo wananchi wanautumia mitaani et ukitaka kupata wife material tafuta shabiki wa assnail, ujue huyo kuzoea shida na yupo tayari kukuvumilia katika shida na raha, ila asiwe upande wa Morgan (wananchi bhana)
Haya ni machache kati ya mengi yanayoendelea duniani kwa sasa, and here is your last eight match:
0-0 Hull D
0-2 Barcelona L
2-3 Man Utd L
1-2 Swansea L
2-2 Spurs D
4-0 Hull W
1-2 Watford L
3-1 Barcelona L
Arsenal fans: let's 4get our problems and focus on Manchester form.
Matatzo ya assnail ni yaandike kwa uchungu Mimi?Unavyoandika kwa "UCHUNGU" kweli defeat sio mchezo ila hakuna namna
Tulia dawa ikuingie dogo acha ngonjera
Lvg in au Out??
ila mmejitahidi mna chance ya kucheza Europa mkibeba FA cup au mkimaliza wa 5-6 sio mbaya
Next weekend tuko pamoja na City
Lets focus on manure form and problems and leave away Arsenal
Naona Van Gaal alikuwa bize dk zote 90 ana-solve for X!,...huyu Mzee Msongo sana....kwa kweli jana MAN U kuvuka ilikuwa sawa na kusubiria Mguu wa bandia uote kwenye Vinyweleo, Mechi ilishakwisha Anfield.Naona Van Gaal kamaliza kuandika kakunja daftari Lake anapiga makofi.
Mkiachana na lawama za lvg,nafikiri man utd mnakosa wale top strikers upfront ,wale strikers ambao wanaweza kulazimisha kitu na kikawa,martial & rashford bado ni vijana wadogo sana wanaita muda kujifunza kwa wakubwa zao,mnakosa kiongozi vilevile uwanjani.#TheFutureIsBright #Believe
Haya Sheikh Yahaya. ...... hongereni sana best, ila ninaposema kwetu mteja ni mfalme ,ni mfalme kweli namaanisha kuna nyakati lazima umpe mteja wako first priority hata kama maslahi yanakuwa hamna ,to be honest mlistahili kuwa pale kwasababu toka mwanzo ninyi ni wa Europa na tungewatoa kwa kweli tusingekuwa tumemfanyia fair mteja wetu.........lol.......kila la heri best .......Van Gaal kwenye press conference moja baada ya kupigwa na Liverpool Europa League alisema ana njia tatu za kumuhakikishia anaendelea kuwa Meneja wa Man United msimu ujao....ya kwanza kuchukua kombe la Europa hili ameshashindwa tayari.....ya pili ni kuchukua kombe la FA kwa hili naona kama anakwenda kushindwa tena kwa sababu wale wahuni wagonga nyundo wa London ni balahaaa....ya tatu ni kushika nafasi ya nne kwenye EPL kwa hili ndio asahau kabsa kutokana na uafadhali wa zile timu zilizo juu yake hili nalo atachemka.manyumbu FC tukutane msmu ujao
Vipi walivyokuja jana mmewafanya nini ndugu yangu?Squard ile ile Walikula tatu, mlikuja na nyie tukawapangia vyanafunzi vya sekondari mlikula tatu, au umeshasahau?
Vipi walivyokuja jana mmewafanya nini ndugu yangu?
Hatua kwa hatua JOGOO anamparua mfugaji.
View attachment 330632
View attachment 330633View attachment 330634View attachment 330635
Nikutakie kila la heri kwenye mihangaiko yako nakukumbusha ukipata bahati ya kumaliza nafasi ya NNE safari hii andaa gari la parade kuzunguka jiji la Manchester kushangilia pia jitahidi kuvumilia KILA NYUMBA LAZIMA ITOE MAITI tunatofautiana muda tu.
Asante mkuuHongera sana
Haya Sheikh Yahaya. ...... hongereni sana best, ila ninaposema kwetu mteja ni mfalme ,ni mfalme kweli namaanisha kuna nyakati lazima umpe mteja wako first priority hata kama maslahi yanakuwa hamna ,to be honest mlistahili kuwa pale kwasababu toka mwanzo ninyi ni wa Europa na tungewatoa kwa kweli tusingekuwa tumemfanyia fair mteja wetu.........lol.......kila la heri best .......
Mimi walaaaa!!!! Nampenda Sana mteja Wangu yaani nakutakia kila la heri REDS wenzangu...
Hahahaha pole sana.....Jana nilijua ila nilichoka sana hata sikucheki game ila niliona kidogo tu Martial alivyofunga but sikujisumbua kumaliza maana nilishajua matokeo yangekuwaje!!Red
Green hiyo ni ndoto 11 against 1 (LFC vs Degea) mtutoe
Jana ulijua kama mna-game?
Uteja haupo siku hiziMimi walaaaa!!!! Nampenda Sana mteja Wangu yaani nakutakia kila la heri REDS wenzangu...