Anaandika mbinu kizungu "TACTICS"Jamani hivi Van Gaal anaandika nini? Naona anamaliza peni sijui ya ngapi hii.
Mkuu umeadimika sana...jana sijakuona kwenye jukwaa lenui can see manure scoring another Three goals
FT itakuwa 4-1
but am dreaming the impossibles
man utd wanapita
#BELIEVE
CC😡RRONDO
Mzee nashangaa jamaa wanakimbia uwanja wao hivi hiviMan u nyie Ni come back King sasa uwanjani mnaondoka vp Kuna Fire mna Exit mashabiki mapema chenga twawala sio kesho tena bwahahahahaha.
Majukumu ila leo niko hapa nimejaa teleMkuu umeadimika sana...jana sijakuona kwenye jukwaa lenu
Sioni Looserfool akifika popoteKusema ukweli leo Man U mmecheza soka!Leo mmeleta upinzani
Tatizo kubwa ni experimental squad mliyo nayo!Wachezaji wengi wa Man U hawana uzoefu wowote
Hawa wqlio baki nampiga yyt isipokuwa Dortmund tu!Hata Dortmund nikikutana nae baada ya round ijayo nae nampiga!!Sioni Looserfool akifika popote
I'm bookmarking this...Klopp kocha bana
Teh teh wewe nakupa Sevilla tu huyo Dortmund mkubwa sana kwakoHawa wqlio baki nampiga yyt isipokuwa Dortmund tu!Hata Dortmund nikikutana nae baada ya round ijayo nae nampiga!!
Klopp kocha bana
Coutinho ni magician...Duuuh wamerudisha!! Hapa tunachomoka kweli hapa!!!
Sijaona msaada wa smaling, carick, blind na namba saba (ambaye kiuhalisia ndiye msaidizi wa varela) walipoona beki namba mbili kazidiwa!!! Lilikua ni jukum lao kuangalia namna ya kumzuia cotinho baada ya kumtoka verela!!!
Varela inabidi apumzishwe kipindi cha pili!!!
Seville kama Man U tu!Namtoa easily na game naimalizia AnfieldTeh teh wewe nakupa Sevilla tu huyo Dortmund mkubwa sana kwako