Bastian alileta uhai sana pale kati...ila MOTM leo naona ni Herrera, kakipiga sana leo...Depay anazidi kukua...Rashford ana killer instincs pale mbele...Varela anaelekea kuwa combo ya G. Neville na Rafael...Martial sina maneno juu yake, it's a bargain...#TheFutureIsBright