Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Moja nimemjibu shabiki wa man u mwenzangu, nyingine nimemjibu mkaanga sumu
 
Ivi ww team yako yenyewe jipu kutwa kwenye nyumba ya jirani ilihali kwako una matatizo...
 
Uko serious kweli ?unaongelea hii Liverpool ambayo haijachukua ubingwa wa EPL miaka 26 si bora aende Porto. Kipa wa Liverpool ni Mignolet kuhusu De Gea endelea kusubiri kama Gerrard alivyosubiria ubingwa wa EPL
 
LIVERPOOL???? Please, hiyo historia naona sasa inawalemaza na upstairs. Yaani De Gea aondoke Manutd aende Liver??? Duh!
 
Unaonyesha jinsi gani unavyotuogopa unatamani tutolewe mapema ili tusikutane.....kwani bado una maumivu ya zile tatu....?
Hii ni Emirates Cup, msimu uliopita tuliwapiga viwili tena mbele ya mademu zenu! Walete walete!!
 
Duh imebidi nicheke tu kwa hiyo ukweli ni upi utampiga Liva pale Old Toilet na kumtoa kwenye Futuhi kama ambavyo umenijibu au hauwezi kumtoa kama ulivyomjibu shabiki mwenzio?
Moja nimemjibu shabiki wa man u mwenzangu, nyingine nimemjibu mkaanga sumu
Sawa timu yangu Jipu na kwa hali ilivyo timu yako itakua tambazi,ujio wangu kwa jirani ni sababu ya misiba mfululizo siwezi kuwaacha pekee yenu lazima niwasaidie kuchimba kaburi,hata mimi nikifiwa mnajaa pale kibarazani kwangu nina uhakika leo mmoja wetu atafiwa lazima tukutane msibani
Ivi ww team yako yenyewe jipu kutwa kwenye nyumba ya jirani ilihali kwako una matatizo...
 
Kwa hiyo kuna C. Palace, Everton na Watford sasa. Pamoja na kuwa siyo vibonde, lakini United ikipita leo, isifanye mzaha ili angalau ishinde hili kombe.
#Believe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…