Kumbe mkorofi hivi!!!Ulishasikia msiba kuhama????!
Yani mwombolezaji kafia msibani...
Khe khe khe khe kheeeeeeee
We umeona kwa kipa tu? Umewahi kuona hata beki zake zikilipua?Kosa limeanzia kwa De Gea amedaka mpira na kupiga mpira mrefu bila malengo. Mie hapa ndio huwa nawaona barca wapo tofauti na timu nyingine. Kipa hutakiwi kupiga mpira tu eti uende mbele wakati chance ya kuupoteza ni kubw a kuliko kuupata.
Kwa hiyo macho na akili yako inaishia Kiluvya tu?!? Dunia kubwa hii, wewe unalala, wengine wanaamka, wengine wapo kazini, wengine wanatoka kazini n.k.
Why kocha anachezesha 3-5-2 with Fellaini as CM and Carick as CB badala ya 4-4-2
Unapomchezesha Rashford na kumuweka bench Herrera kwenye mechi ngumu kama hii ni ushindi tu ndio utakaookoa tactic zako. LVG is cluesless kabisa. Mechi vs Liverpool sio ya kuchezesha akina Rashford wakati wazoefu wako fit umewaweka nje. Atamuharibu huyo dogo sasa hivi.Hata mimi sikuelewa kabisa...katika jambo ambalo namchukia LvG ni hilo la kutumia 3-5-2...kipindi alitumia na kutoa excuse ya kukosa mabeki...sasa leo sijui atasema nini...sijaangalia post-match interview...halafu hii game nilikuwa nimetingwa kweli hata sijaifuatilia vizuri...
Anyway, ngoja tuone marudio yatakuwaje
Kwa hiyo macho na akili yako inaishia Kiluvya tu?!? Dunia kubwa hii, wewe unalala, wengine wanaamka, wengine wapo kazini, wengine wanatoka kazini n.k.
Man of the Match alikuwa kipa De GeaDaniel Sturridge's 20th-minute penalty set the Reds on their way in the first European meeting between England's two most-decorated clubs, beating David de Gea from 12 yards after Memphis Depay was contentiously penalised for clipping Nathaniel Clyne.
Kuna post nimesema liverpool wamecheza vizuri sana, lakini siwezi kufumbia macho debatable penalty na clear offside kwenye build up ya goli la pili.Man of the Match alikuwa kipa De Gea
Tuwe wa kweli,MAJOGOO tulistahili kushinda jana
Teehee teeeeehekwani kimetokea nini hebu nipe taarifa basi
BelindaJacob njoo Liverpool,wenzako akina cute b na everlenk wameisha jiunga!Kipigo cha Liverpool jana kimeniuma na kuangalia kote mechi usiku vile..Khaa! Thanks to Da Gea - He's simply the best.
kuliko nmshaur mtu ashabkie Liver bora ashabkie redeBelindaJacob njoo Liverpool,wenzako akina cute b na everlenk wameisha jiunga!
Wamechoka kulia kila siku,Man U sasa ni kama gari la washa washa la polisi hujui lini utawashwa
BelindaJacob njoo Liverpool,wenzako akina cute b na everlenk wameisha jiunga!
Wamechoka kulia kila siku,Man U sasa ni kama gari la washa washa la polisi hujui lini utawashwa
Braza, ebu tukumbushe vizuri hapa! Unaongelea fainali ya UCL iliyofanyika Moscow? Kumbukumbu zangu zinasema Mourinho hakuwa kocha wa Chelsea, ni Avram Grant ndiye aliyekuwa kocha.kwa wale washaniki nguli wa man utd utakumbuka mwaka 2008 morinho alivyoibeza man baada ya kumfunga kwny fainali.ya uefa pamoja na wachezaji wa man utd akiwemo ronardo kwa kumwita ni mchezaji wa kawaida tu
Mlistahili na ndio maana ikawa hivyoMan of the Match alikuwa kipa De Gea
Tuwe wa kweli,MAJOGOO tulistahili kushinda jana