Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kufungwa kwa Man huwezi kumlaumu Van Gaal lawama zote ziende kwa Mata.
 
Hodiii hodiiii...!waungwana nimepita kuwajulia hali nimetoka hapo kwa jirani mtaa wa darajani kuna msiba nasikia na hapa kuna mgonjwa ivyo ningependa kujua,tulete mchango wa jeneza kwa kua hawezi kupona au tuwahi duka la dawa kumnunulia mgonjwa panadol.?
 
Umepotea nyumba mkuu,mgonjwa mahututi yupo kule mtaa wa saba unaoitwa Anfield, Anapumulia mipira sasa hivi,akipona leo usiku basi asali sana, kifupi jeneza lake lishaandaliwa tayari.
 
Umepotea nyumba mkuu,mgonjwa mahututi yupo kule mtaa wa saba unaoitwa Anfield, Anapumulia mipira sasa hivi,akipona leo usiku basi asali sana, kifupi jeneza lake lishaandaliwa tayari.
Haaaaa haaaaa yangu macho ila ambako nitasikia kilio usiku wa leo basi nitakuja kwa kasi kuhani.
 
Umepotea nyumba mkuu,mgonjwa mahututi yupo kule mtaa wa saba unaoitwa Anfield, Anapumulia mipira sasa hivi,akipona leo usiku basi asali sana, kifupi jeneza lake lishaandaliwa tayari.
Kuna button ya edit baadaye uirudie kuitumia
 
Kulivyopoa utadhan hakuna kinachotokea vileee!!!
Haaaa haaaa wenyewe wako mapangoni hawaamini wanachokiona so far Liva kawaziba matundu yote ya kupumulia ngoja tuone 2nd half kama watafufuka maana kipa wa Liva alikua likizo,ila Liva kama wamasai usiwawekee dhamana.
 
Daah!! Kwa mpira huu man u ushindi wasahau aisee... mpira wa taratiibu sana.. with no concentration.. wanapoteza mipira kirahisi sana na wanakaba kwa macho yan..

They need to press kipind hiki cha pili
 
Kwiiii kwiiii kwiiiiii kaka Carick kachoma woyooooooooooo
Liva 2-0 Manyumbu
Kosa limeanzia kwa De Gea amedaka mpira na kupiga mpira mrefu bila malengo. Mie hapa ndio huwa nawaona barca wapo tofauti na timu nyingine. Kipa hutakiwi kupiga mpira tu eti uende mbele wakati chance ya kuupoteza ni kubw a kuliko kuupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…